Hatimae ndoa ya Shilole na Rommy3D yavunjika rasmi

😀 😀 😀 na miuchi ya wanawake wanene inavokuaga sasa aisee ni hatari sana hii midude
 
Nimemkumbuka NUHU MZIWANDA alikuaga anadundwa na shishi..

Shishi anaenda kudanga na wanaume wengine NUHU MZIWANDA akiuliza anapigwa kibesi anaambiwa si unakula unavaa unaoga UNAZANI PESA ZINATOKA WAPI..

all in all
Shishi hawezi kumpata mwanaume gentleman mfano Mimi hata ukiwa na pesa huwezi nipelekesha Kama gari bovu for sure MWANAUME ndani ya nyumba lazima ajulikane
 
😆😆😆🙈🙈🙈Astagafirulahi.
Mshangazi mie nimezungumzia umri sio mwili.
Ila kwa huyo shishi hapo Bwawa la Nyerere mazeeh.
😅😅😅😅 msiba mbona nishakua na mshangazi huo aisee ilifika time hisia zilikata ilikua ni bora nijichukulie sheria mkononi ila sio kulibandua aisee ni kero sana hii mi dude yenye miili mikubwa afu liwe halijielewi linagawa tu uchi siku likikupa huo msimi ka tambala la kupigia deki toilet 🕳️🕳️
 
Siku hizi mtu unakaa na kuwaza hiyo body count hadi unaweza kujiogopa. Tusipokuwa na kiasi kwenye issue ya ngono ni hatari sana, maana imekuwa rahisi sana kupatikana.
 
Shilole aache tabia ya kutafuta ving'asti.

Atafute mwanaume aliyemzidi kipato aolewe.
 
"Naona tumefikia mwisho na si vibaya nikakubali matokeo na kumpisha kijana mwenzangu aendeleze gurudumu hili"
#Mstaafu

Mwamba kastaafu kwa moyo mkunjufu hajataka kuongeza muda apewe maua yake nasubiri kuona kijana aliepokea gurudumu kama atastaafu kwa amani punde mwisho wa utumishi wake utakapo wadia.
All the best 3D #Mstaafu.
 
hazi=hadhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…