raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Mwamba KANG'ATUKA kama Nyerere
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ku
Kuna jamaa alisema"ndoa Gani mnaambiwa mkitaka kuachana muachane Kwa Amani,"
Jamaa analalamika sana kupitia comment Yako mkuu bado nitazidi kuzichunguza ndoa za dini hii.
Hatari kweli kweliNdio tulipofikia lakini, siku hizi wanawake wanatafuta pesa ili wapate wanaume wanaowataka. Na huu ugumu wa maisha na njaa zinavyokaba, vijana hawana cha kupoteza
Teh teh 😃 😃 karuhusu wengine nao wazibe nafasi wakitakaHata kama ana hekima, ndio aseme mwingine aendeleze gurudumu 🤣 jamani.. jokes
Tushangazi twenye miili midogo huwa tutamu sana kuna hako ka moja mkuu nilishakuwako aisee adi nikawa najiuliza kwa haka ka ustaarabu anakooneka nako nikimpa mic aperform ataweza kweli 🤩🤩 mzee ile tik tak nyingi mtu kazamisha hand down kaanza kufanya yake mara naona mtu huyo downstairs mara kaanza kuperform mkuu we acha tu🤗🤗Kuna vishangazi bhana vina miili midogo midogo hivi kama vidada kumbe vishangazi.
Aloooh!Vitamuuu hivyoo.
Imenikumbusha nikiwa high school nili date na madam wangu anaetufundisha GS kalikua kana 31 kipindi hiko mimi nina 19.
Katyaamuuuu hako ukikaona kama kashichana toto ya kindengereko.
🤣🤣🤣🤣 mzee we acha tu ila nilikua nalikomesha nilikua nalipa mic tu liperform na nikikaribia ku dance nalikandamiza kichwa tu..........Hahaha kwa hiyo mwamba ukawa unapiga huku umekunja uso hahaha hatari sana kweli mapenzi ni hisia.
Hahahahaha ndio maana wanabadili tu vijanaHawakosi soko wao ndio hutongoza
hawajitambui ata kidogoKwakweli sio sawa, walau hata wangekua wanafanya kwa siri na sio public kama hivi.
X-wa mamayo anapost ati anamuachia kijana mwingine asongeshe gurudumu😂😂 aloo.
Ndoa za mastaa wa bongo ni public stunts. Ukielewa hili halitokusumbuaHello 👋
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Rommy3D amethibitisha kuachana rasmi na Shilole baada ya video na picha zinazoendelea kusambaa mitandaoni zikimwonyesha Shilole akiwa na dogodogo mwingine.
Kungekuwa na timu ya mpira;
Kocha mkuu- Haji Manara
Kocha wa Viungo- Dida Shaibu
Kocha wa Makipa- Esma
Kocha Msaidizi- Shilole na Dula Makabila
My take: Vijana muache kulelewa mtafute wanawake wa size zenu.
View attachment 3001773
Sio tairi ni gurudumuUnazungumzia tairi la dumper??View attachment 3002028
Kwa sababu hata yeye alimpokea mtu hilo gurudumu,yaani ni kama mbio za relay,yaani kupokezana vijiti😜Hata kama ana hekima, ndio aseme mwingine aendeleze gurudumu 🤣 jamani.. jokes
Kuna sehemu nimeandika Tajiri??Sio tajiri ni gurudumu
My mistake, nilimaanisha "tairi"Kuna sehemu nimeandika Tajiri??
هداك اللهNdoa za kiislamu zina uzinaa ndani yake. Mtu mnaweza kujua kabisa hapa hakuna future, ila kwa sababu ya kudanganya watu mnasema tunahalalisha.
Mfunge ndoa, mtombane weee, kisha mkichokana muachane. Huu ni ujuha, kumdanganya Mwenyenzi Mungu.
Mnahalalisha zinaa.
Mister you meant hoe or whore?You can't turn a hoe into a housewife, fool. .. The Notorious BIG
Mkuu shida sio kuzidiwa kipato.Shilole aache tabia ya kutafuta ving'asti.
Atafute mwanaume aliyemzidi kipato aolewe.
Hoe...kwani Kuna tofauti kati ya hoe na whoreMister you meant hoe or whore?