Hatimae ndoa ya Shilole na Rommy3D yavunjika rasmi

Hatimae ndoa ya Shilole na Rommy3D yavunjika rasmi

Tushangazi twenye miili midogo huwa tutamu sana kuna hako ka moja mkuu nilishakuwako aisee adi nikawa najiuliza kwa haka ka ustaarabu anakooneka nako nikimpa mic aperform ataweza kweli 🤩🤩 mzee ile tik tak nyingi mtu kazamisha hand down kaanza kufanya yake mara naona mtu huyo downstairs mara kaanza kuperform mkuu we acha tu🤗🤗
Ufalme wa mbinguni utausikia mkuu.
😂😂😂😂Bro we muhuni sana.
 
Kwa nifahamuvyo mimi mkuu hoe ni Jembe.
Whore ni kahaba,au labda kama umecheza na lugha mkuu.
Screenshot_20240528-202556.jpg

Upo sahii mkuu,
 
Kijana kashafulishwa vyupi kama vyote ndo akatupwa kama pedi iliyotumika. Tafuteni hela jamani, haha
 
Haya Madubwana yana Watu wao permanent (wazee) so Wakiitajika ata kama upo nao 6 kwa 6- Atakuacha na kwenda hitikia wito. Uchebe alikuwa anaachiwa Nyumba na Watoto ata 3 Days! Lishangazi linatumika huko na kupinduliwa pinduliwa kama Sato...Uchebe akachoka akaamuwa kuachana nalo baada ya kuona ata Kichapo anachompa Bibie ajali wala asikii, Iyobo nae kwa Aunty Ezekiel alikuwa anapigaa wee wapi akalala mbele. Nuu Mzuwanda alikuwa anapigwa yeye mpaka akaona isiwe tabu akalala mbele na ndo akatunga Wimbo ule unaitwa JIKE SHUPA.....Dogo Wozu kwa Madame-yeye ni on/off kila kukicha! Ee Mungu hokoa kizazi hiki🙏
Hilo lishangazi lina kisukari nuhu mziwanda alikuwa hajui akazani lipo safi mwisho ndio hivyo akajikuta anateketea kwenda kucheki akajikuta na yeye anakisukari mwisho ndio kuja kuandika Ile nyimbo ya majonzi
 
Kuna vishangazi bhana vina miili midogo midogo hivi kama vidada kumbe vishangazi.
Aloooh!Vitamuuu hivyoo.
Imenikumbusha nikiwa high school nili date na madam wangu anaetufundisha GS kalikua kana 31 kipindi hiko mimi nina 19.
Katyaamuuuu hako ukikaona kama kashichana toto ya kindengereko.
Lakini sura ngumu
 
Ndoa za kiislamu zina uzinaa ndani yake.

Mfunge ndoa, mtombane weee, kisha mkichokana muachane. Huu ni ujuha, kumdanganya Mwenyenzi Mungu.

Mnahalalisha zinaa.

Mkichokana, mkaendelea kung'ang'aniana mnakuwa mnamdanganya nani..?!

Dah! Halafu wewe ni Dokta.

Ndio maana ni rahisi sana kuelewa Hoja za kina Mhe. Kishimba na Musukuma kuwa nchi yetu ina Wasomi 'wengi' wajinga sana wasio na maarifa!

Mbali na kukosa maarifa; hawawezi hata kujenga hoja.
Wanaongozwa na hisia, tena hisia za chuki!
 
Kwa hiyo kuna mwamba mwengine anaendeleza project, kamwachia mwenzake aendeleze gurudumu,so Shishi ashakuwa Gurudumu sio Mshangazi tena.

Hapo ndipo ujue Uchebe alikuwa yupo sawa.Nawaonea huruma vijana wanaodate na mishangazi kwani huja kudhalilika na poteza ile hazi ya kiuwanaume.

Ila uzuri hainaga Makombo acha kijana mwengine aendeleze gurumu,maana Shilole amekuwa kama project.
YALE MADAI YA MANGE KIMAMBI YANAPATA NGUVU SASA
 
Kabla ya kupanda gari inatakiwa uchunguze ni abiria wangapi wameshushwa njian tena kwenye pori la simba wakal
 
Back
Top Bottom