Hatimae ndoa ya Shilole na Rommy3D yavunjika rasmi

Hatimae ndoa ya Shilole na Rommy3D yavunjika rasmi

Hello 👋
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Rommy3D amethibitisha kuachana rasmi na Shilole baada ya video na picha zinazoendelea kusambaa mitandaoni zikimwonyesha Shilole akiwa na dogodogo mwingine.

Kungekuwa na timu ya mpira;
Kocha mkuu- Haji Manara
Kocha wa Viungo- Dida Shaibu
Kocha wa Makipa- Esma
Kocha Msaidizi- Shilole na Dula Makabila

My take: Vijana muache kulelewa mtafute wanawake wa size zenu.

View attachment 3001773
Nasema hainaga ushemejiii tunakula... haina ushemeji tunakulaga..
Zamu ya nani leo?
zamu ya man fongo, zamu yako itakuja usijari baharia wangu...
 
ROMY 3D NI KIJANA WANGU SIJUI KILIMKUTA NINI MPAKA KUTULIA KWA SHILOLE .AU LABDA ALITAFUTA UNAFUU WA MAISHA NA MTELEZO .LAKINI SHILOLE AKAONEKANA HELA ANAIJUA SANA.
 
Ndoa za kiislamu nyepesi sana, mahari 20,000 na harusi laki 1 unafunga ndoa na kibaya zaidi anaweza kuoa leo kesho akaacha, akaoa mwingine.
Bora kuliko ndoa ya kigalatia mke na mume hawapendani, wanaishi kama miroboti, kutwa kuchwa ni wanapishana bafuni kwa zamu kupiga punyeto kwa wale wanaojifanya walokole
N awale wengine ni kudanga na kuambukizana ukimwi, na kama takwimu zinavyoonyesha wahanga wa ukimwi wengi ni wagalatia
 
Ndoa za kiislamu zina uzinaa ndani yake. Mtu mnaweza kujua kabisa hapa hakuna future, ila kwa sababu ya kudanganya watu mnasema tunahalalisha.

Mfunge ndoa, mtombane weee, kisha mkichokana muachane. Huu ni ujuha, kumdanganya Mwenyenzi Mungu.

Mnahalalisha zinaa.
jieshimu wewe babu,acha kuongea ujinga ndoa makubaliano baina ya pande mbili na mnaposhindwa uislam haukufanya ndoa kuwa kifungo chamaisha uteseke mpaka ufe.acha kuongea upumbavu
 
Sasa mkuu unataka muachane kwa chuki na fujo!?
Kama watu maelewano hakuna ndani kiasi upendo umefutika,mwaishi pamoja kwa munajili upi!?
Bora mtengane kiamani kiroho safi.
Kwanini mnaweza achana kwa amani kwanini mstatue tofauti zenu kwa amani?
 
Hello 👋
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Rommy3D amethibitisha kuachana rasmi na Shilole baada ya video na picha zinazoendelea kusambaa mitandaoni zikimwonyesha Shilole akiwa na dogodogo mwingine.

Kungekuwa na timu ya mpira;
Kocha mkuu- Haji Manara
Kocha wa Viungo- Dida Shaibu
Kocha wa Makipa- Esma
Kocha Msaidizi- Shilole na Dula Makabila

My take: Vijana muache kulelewa mtafute wanawake wa size zenu.

View attachment 3001773
Mapenzi ya kupokezana, hatari sana
 
Bora kuliko ndoa ya kigalatia mke na mume hawapendani, wanaishi kama miroboti, kutwa kuchwa ni wanapishana bafuni kwa zamu kupiga punyeto kwa wale wanaojifanya walokole
N awale wengine ni kudanga na kuambukizana ukimwi, na kama takwimu zinavyoonyesha wahanga wa ukimwi wengi ni wagalatia
Kwa elimu ya madrasa upo sahihi. Subiri muda ufike, upande ndege iliyotengenezwa na makafiri ukampige mawe shetani. Labda akili yako itakaa sawa siyo kwa povu ulioandika.
Kunywa maji mengi
 
Kwa elimu ya madrasa upo sahihi. Subiri muda ufike, upande ndege iliyotengenezwa na makafiri ukampige mawe shetani. Labda akili yako itakaa sawa siyo kwa povu ulioandika.
Kunywa maji mengi
Typical kutapika mataputapu ukishalooa
Wewe na ukoo wenu wote hakuna anaefikia elimu yangu na tena sio ya vyuo vyenu vya jalalani
 
Typical kutapika mataputapu ukishalooa
Wewe na ukoo wenu wote hakuna anaefikia elimu yangu na tena sio ya vyuo vyenu vya jalalani
Jifunze kuandika vizuri. Bila makafiri hata hiyo elimu usingeipata. Wewe una elimu gani ya kunitisha mimi? 😁😁😁😁 Chuo chenyewe mnacho kimoja cha Morogoro tena cha kupewa na mitaala ya elimu ya hicho chuo ni ya makafiri😁😁 Hospital hamna hata moja😁😁😁😁
Kwa dini yako ungekuwa Sharifu majini au unauza dawa za kienyeji kwenye maeneo ya misikitini. Washukuru makafiri
 
Mbuzi wewe, hao unaowaita makafiri hata huyo yesu pimbi mungu mtu hawamjui na wala hawaamini hiyo dini ya mashoga kenge wewe
Mporipori unafikiri wenye hio elimu walikuwa wagalatia mavi kama wewe
Hawa ndio nimesomea elimu yao UK, na tena sio Teku sijui kcmc au Saut kwa walokole mavi wenu
Hawahawaamini ugalatia.....
Newton-Atheist
Einstein-Atheist
Hawkins- Atheist

Sasa mbuzi jike wewe, tuweke ligi hapa ya elimu ya sayansi na uhandisi na wewe
Tuanze na swali la form 4 kilaza wewe
Tafuta mtiririko wa nguvu ya umeme yaani Currents kwenye huu mfumo , I1, I2 na I3
Huu ndio mfumo unaotumka kwenye ki redmi chako kila unavyobonyeza kila alphabeti na kujua unaandika mataputapu au pumba gani ?

1717104381590.png
 
Back
Top Bottom