Hatimae ndoa ya Shilole na Rommy3D yavunjika rasmi

amadala

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2017
Posts
4,265
Reaction score
12,268
Hello 👋
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Rommy3D amethibitisha kuachana rasmi na Shilole baada ya video na picha zinazoendelea kusambaa mitandaoni zikimwonyesha Shilole akiwa na dogodogo mwingine.

Kungekuwa na timu ya mpira;
Kocha mkuu- Haji Manara
Kocha wa Viungo- Dida Shaibu
Kocha wa Makipa- Esma
Kocha Msaidizi- Shilole na Dula Makabila

My take: Vijana muache kulelewa mtafute wanawake wa size zenu.

Screenshot_20240528-122805.jpg
 
Kwa hiyo kuna mwamba mwengine anaendeleza project, kamwachia mwenzake aendeleze gurudumu,so Shishi ashakuwa Gurudumu sio Mshangazi tena.

Hapo ndipo ujue Uchebe alikuwa yupo sawa.Nawaonea huruma vijana wanaodate na mishangazi kwani huja kudhalilika na poteza ile hazi ya kiuwanaume.

Ila uzuri hainaga Makombo acha kijana mwengine aendeleze gurumu,maana Shilole amekuwa kama project.
 
Kwa hiyo kuna mwamba mwengine anaendeleza project, kamwachia mwenzake aendeleze gurudumu.

Hapo ndipo ujue Uchebe alikuwa yupo sawa.Nawaonea huruma vijana wanaodate na mishangazi kwani huja kudhalilika na poteza ile hazi ya kiuwanaume.

Ila uzuri hainaga Makombo acha kijana mwengine aendeleze gurumu,maana Shilole amekuwa kama project.
Hahahahaha...hao masingle maza masupa staa vijana wanapishana tu kuwarukia
 
Hello 👋
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Rommy3D amethibitisha kuachana rasmi na Shilole baada ya video na picha zinazoendelea kusambaa mitandaoni zikimwonyesha Shilole akiwa na dogodogo mwingine.

Kungekuwa na timu ya mpira;
Kocha mkuu- Haji Manara
Kocha wa Viungo- Dida Shaibu
Kocha wa Makipa- Esma
Kocha Msaidizi- Shilole na Dula Makabila

My take: Vijana muache kulelewa mtafute wanawake wa size zenu.

View attachment 3001773
dah, hii ndio ile...

kweli tulikutana kimjini mjini tuachane kimjini mjini, tulikutana kibongo bongo tuachane kibongo bongo sio 🐒

au hii ni,
tulikutana mtandaoni tuachane mtandaoni 🐒
 
Ndoa za kiislamu zina uzinaa ndani yake. Mtu mnaweza kujua kabisa hapa hakuna future, ila kwa sababu ya kudanganya watu mnasema tunahalalisha.

Mfunge ndoa, mlane weee, kisha mkichokana muachane. Huu ni ujuha, kumdanganya Mwenyenzi Mungu.

Mnahalalisha zinaa.
 
Hello 👋
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Rommy3D amethibitisha kuachana rasmi na Shilole baada ya video na picha zinazoendelea kusambaa mitandaoni zikimwonyesha Shilole akiwa na dogodogo mwingine.

Kungekuwa na timu ya mpira;
Kocha mkuu- Haji Manara
Kocha wa Viungo- Dida Shaibu
Kocha wa Makipa- Esma
Kocha Msaidizi- Shilole na Dula Makabila

My take: Vijana muache kulelewa mtafute wanawake wa size zenu.

View attachment 3001773
Inainekana jamaa mstaarabu ila sister mambo mengi,kuoa mtu maarufu hasa wa kike ujiandae ki akili haswa,kaka anaweza control some of the stuff ingawa sivyo but dada inakua kazi zaidi kwakua vitu vitu anatakiwa kufanya kuliko kuamua km yy
 
Kwa hiyo kuna mwamba mwengine anaendeleza project, kamwachia mwenzake aendeleze gurudumu,so Shishi ashakuwa Gurudumu sio Mshangazi tena.

Hapo ndipo ujue Uchebe alikuwa yupo sawa.Nawaonea huruma vijana wanaodate na mishangazi kwani huja kudhalilika na poteza ile hazi ya kiuwanaume.

Ila uzuri hainaga Makombo acha kijana mwengine aendeleze gurumu,maana Shilole amekuwa kama project.
Kama CCM wanavyobadili wenyeviti
 
Ujenzi wa taifa unaendelea.huyo kijana akimaliza mwingine atajitokeza kuendeleza gurudumu.lakini shilole anatako zuri sana.linafaa kupetiwa petiwa na vijana kama sisi na siyo wazee
 
Back
Top Bottom