Fene
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 2,824
- 4,447
Habari wanaJamiiForums
Kama heading ijielezavyo hatimae nimefanikiwa kuzisoma threads zote za Jamiiforums ktk majukwaa yote ispokuwa jukwaa la siasa
Hivyo ningeomba wanaJF wenzangu musikose kunitag ktk threads mpya zitakazotoka ili tujifunze na tuinjoi wote kwa pa1 ispokuwa threads zitakazohusu siasa tu.
Natanguliza shukran zangu.