Fene
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 2,824
- 4,447
- Thread starter
- #41
Inawezekana mkuuWew bado hujui kitu kuhusu JF...JF kwa huko.nje inajulkana kama jukwaa kongwe la siasa na kichaka cha wanasiasa na wanaharakati, sasa wew kujisomea izo nyuzi za addition ndyo ujione umesoma thread zote? afazar hata usingelimention ilo jukwaa ama ungesema umesoma nusu ya nyuzi[emoji41][emoji41][emoji41]...we kijana bado sana subir wajuzi wenzako wa kula matunda kimasihara wamiminike hapa kukusapoti[emoji41][emoji41]