Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Hapo inapita hata miaka kumi. Akiulizwa anasema, "Najipanga niendelee na nyumba kubwa. Si unaona huo msingi."
Nataka nifanye hivyo. Najenga chumba sebule chumba na msingi mkubwa wa kuzugia mbele.