Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Hapo inapita hata miaka kumi. Akiulizwa anasema, "Najipanga niendelee na nyumba kubwa. Si unaona huo msingi."
Unaleta story za kile kibanda cha mlinjz...hivi kilikula million ngapi vile? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na tutaendelea kupigwa maana wananchinsie ni wajingaYaani tunaona kila aina ya upigaji Halafu wanaweka wazi kama sifa vile
Kuna bwawa lilitengewa 600m jamaa anakabidhi kidimbwi cha maji tena kachimbua kwa mkono [emoji23][emoji23]
Waziri nae eti Takukuru mchukueni huyu hajui huko anaenda kuwapa chao pia
Yaani tunapigwa kifala kweli
Unaleta story za kile kibanda cha mlinjz...hivi kilikula million ngapi vile? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kanyumba kazuri haka na gari lake hapo pembeni maisha yanaenda.View attachment 2192930
[emoji23]
Watu wanampongeza boy 1 wakati aliyetupia picha ni mshuza 2. Hongera mshuza 2 boy 1 nawe tupia yako.
Kanyumba kazuri haka na gari lake hapo pembeni maisha yanaenda.
Hongera mnooJapo haikuwa rahisi kivile nashukuru mungu nimefanikiwa kuhamia kwangu
Kweli nimeamini ukiwafatilia sana walimwengu haujengi vitisho vingiiii hasa hawa mafundi wa mitandaoni kitu Cha laki atakwambia laki Saba[emoji2957][emoji2957]