Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
???Kabisa mkuu hongeraView attachment 2192386
Mkuu tupiako basi kapicha tena selfie sisi kina Thomaso tujiridhishe na kukuamini.Japo haikuwa rahisi kivile nashukuru mungu nimefanikiwa kuhamia kwangu
Kweli nimeamini ukiwafatilia sana walimwengu haujengi vitisho vingiiii hasa hawa mafundi wa mitandaoni kitu Cha laki atakwambia laki Saba[emoji2957][emoji2957]
Kama haka kanaweza kula laki ngapiKabisa mkuu hongeraView attachment 2192386
Kama haka kanaweza kula laki ngapi
Hii ni boy kota.
Kabisa mkuu........Ina maana ameshndwa ku appreciate juhudi za raisi[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona hujamshukuru Raisi wewe si mzalendo.!
Inasikitishaaa sanaaaKabisa mkuu........Ina maana ameshndwa ku appreciate juhudi za raisi[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama haka kanaweza kula laki ngapi
Unaleta story za kile kibanda cha mlinjz...hivi kilikula million ngapi vile? 🤣🤣🤣🤣🤣Milioni 60 kama ni za walipa kodi