Mimi pia nimejiunga ila sijui jinsi ya reply message zaidi direct bila kudandia message ya mwingine, ile sehemu ya direct sijui jinsi ya kuingiaBaada ya kuperuzi umu kama guest,Leo nimeamua kujiunga rasmi
Naomba umnipokee Mimi member mpya humu ila muenyeji hahahahaaa
Ahsanten sanaaa...
Aisee kumpe adi papuchi na gegedo wazijuaNimekuwa nikiperuzi kama guest so baadhi ya watu umu nawaelewa
Fisi maji on the moveNjoo PM nikupe zawadi
[emoji79] [emoji79]Picha please! Karibu sana
Nimependa jibu lako[emoji2] [emoji2] sana tyuu
Hahaha haya bhana karibu sana Mimi sina roho mbaya ndio maana nasema karibu uje uchukue siku kuu yakoBaada ya kutumia ipi?
Ndo nimejiunga kwa Mara ya kwanza app yenyewe nime download Jana ucku
Hebu nikaribishe uache roho mbaya jaman
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haya ,chukua hizo zawadi zako za sikukuu
[emoji79] [emoji79]