Hatimae nimejiunga Jamiiforums

Hatimae nimejiunga Jamiiforums

Baada ya kuperuzi umu kama guest,Leo nimeamua kujiunga rasmi

Naomba umnipokee Mimi member mpya humu ila muenyeji hahahahaaa

Ahsanten sanaaa...
Mimi pia nimejiunga ila sijui jinsi ya reply message zaidi direct bila kudandia message ya mwingine, ile sehemu ya direct sijui jinsi ya kuingia
 
Mimi pia nimejiunga ila sijui jinsi ya reply message zaidi direct bila kudandia message ya mwingine, ile sehemu ya direct sijui jinsi ya kuingia
Mm nafuata mishale tu

Kwani simu yako haikuonyeshi pakujibia?
 
Haya ,chukua hizo zawadi zako za sikukuu
1b96790f497ee2c461ac0174888c63d6.jpg
b18006d078968af72dbbbd716f4f57d0.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom