Hatimae nimejiunga Jamiiforums

Hatimae nimejiunga Jamiiforums

Baada ya kuperuzi umu kama guest,Leo nimeamua kujiunga rasmi

Naomba umnipokee Mimi member mpya humu ila muenyeji hahahahaaa

Ahsanten sanaaa...
Karibu mgeni, nitakuonyesha kila jukwa nitakushika mkono,
 
Back
Top Bottom