Hatimae nimekula mwanafunzi wa kitawa

Una tatizo. Kujisifu kwa ngono zembe.
Kujisifu kufanya mapenzi na Mtumishi wa Kanisa, ni laana.
Ipo hivi, ukienda kusali na kuwaona hawa watumishi utakuwa unajuta sana, utapata mawazo na stress kuhusu kitendo chako hicho.
Ni afadhali ungekula na kukaa kimya, ila kuja huku na kutangaza hadharani, umewaumiza wengi na hakika unajua umeumiza na utajutia maana utakuwa unawaona hawa watumishi kanisani, na au ukienda nyumba yeyote ya ibada utakereka katika nafsi yako, kitu ambacho n kibaya na mzigo moyoni.
Unatakiwa kufikiri kabla ya kutenda.
Usicheze na Kanisa, maana laana ii juu yako
 
Umekosea sanaaa kujitangaza hayo mambo yapo sanaaa na wengine tumeyashuhudia ilaaa unakula kimyaa tu
 
Ngoja nianzishe hilo Thread...
 
Nasikia wanasema kuna kumbi inaitwa JLW mi sipo huko ila inasemekana nyuzi za hivi ndo huwa huko!
 
Dah...baharia umetimiza ndoto [emoji38][emoji38]
 
kwa hiyo bila kusema wa kitawa hatutaelewa kuwa umekula k?
 
mzee hakuna demu mwenye umri kubwa ivo (24) ambaye ni bikra, Kwa dunia ya leo. kwaiyo Acha kutupanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…