Hatimae nimemaliza masomo yangu yaliyohusu jinsi ya kuwaelewa wanawake

Hatimae nimemaliza masomo yangu yaliyohusu jinsi ya kuwaelewa wanawake

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,472
Reaction score
9,542
Huu ni mrejesho wangu mimi mwanazuoni mwehu ndama jitu la mtumba , mteule wa bwana baada ya kuhitimu shahada ya juu kabisa ya jinsi ya kuwaelewa wanawake na namna Bora ya kuishi nao.

Tafiti yangu jadidi iliyohusisha mkusanyo wa data kwa njia za kimtandao , mahojiano ya ana kwa ana , pamoja na rejea za matukio mbalimbali ya kijamii kupitia simulizi za sauti na video, ilinifikisha katika hitimisho la kuwa wanawake ni vitunguu maji.

Kama ilivyo kwa kitunguu maji ambacho huwatoa nachozi wale wanaokimenya pasipo tahadhari basi vivyo hivyo ndivyo wanawake huwaliza, kuwanyanyasa na kuwapepeta kama ngano ghalani wanaume dhaifu , simp men, ambao hawafikiri kwa kichwa Bali hisia.

Hili linajionyesha katika sura nyingine ambapo, kama ilivyo tabia ya samaki wakubwa kumeza wale wadogo basi ndivyo mianajike shupavu ,jasiri na isiyocheka na wowote huwaingiza katika mitego wanawake wenzao ambao ni vichwa maji , kisha kuleta taharuki na vilio visivyo na tamati.

Mrejesho utaendelea!!
 

Attachments

  • img_1_1742834761664.jpg
    img_1_1742834761664.jpg
    152.3 KB · Views: 26
Back
Top Bottom