Dr wa Kaliua
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 1,634
- 3,833
- Thread starter
- #21
Nashukuru SanaUaminifu, heshimu na Linda mkataba , funga zipu , usifungue vizibo vya chupa utatoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru SanaUaminifu, heshimu na Linda mkataba , funga zipu , usifungue vizibo vya chupa utatoka
Hahahaha! Mzee we unapiga wapi?Madereva bajaj hela tunapata tatizo chupi
Miezi 18Mkataba n wa muda gan na shngap kwa siku/ wik au mwez
Hapana nimeona bajaj imeandikwa hivo mitaa ya muhungula kahamaHahahaha! Mzee we unapiga wapi?
Hahahaha sawaHapana nimeona bajaj imeandikwa hivo mitaa ya muhungula kahama
Kikubwa piga kazi mkuu,heshimu kile ulichotafuta kwa Jasho..Hahahaha sawa
Ahsante Sana ndugu yangu!Kikubwa piga kazi mkuu,heshimu kile ulichotafuta kwa Jasho..
Wazungu wanamsemo wao "Always give one and take ten"
Ok,poa poa Kila la heri...Dar es salaam kigamboni.
Usivue kwa mda umake kwanza ukizidiwa ingia kimboka kaopoe sepa, ukitaka kumiliki utakosa hata pesa ya tairiMadereva bajaj hela tunapata tatizo chupi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usivue kwa mda umake kwanza ukizidiwa ingia kimboka kaopoe sepa, ukitaka kumiliki utakosa hata pesa ya tairi
Kijana angalia Dm Yako tafadhali Kuna ujumbe wangu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimejibuu[emoji2]Kijana angalia Dm Yako tafadhali Kuna ujumbe wangu...
Umepata mkataba mzuri sana....sehemu nyingine miezi 27 kwa elfu ishirini kwa siku.Miezi 18
Kwa siku 16000
Marejesho Ni kwa mwezi.
Cheki tena ,Kuna maongezi mengine...Nimejibuu[emoji2]
Nashukuru SanaUmepata mkataba mzuri sana....sehemu nyingine miezi 27 kwa elfu ishirini kwa siku.
Na service uzingatie unatoboa kwa huo mkataba.
Nashukuru SanaUko wapi, kama unaishi maeneo ua mjini jiunge uber na bolt,
Epuka mademu(wadangaji) wanapenda kitonga, watakulostisha
Timiza mkataba wako.
Ukimaliza mkataba usiiuze, fanya umejipa mkataba.