Hatimae Nimepata Bajaj ya mkataba! Upi ushauri wako?

Hatimae Nimepata Bajaj ya mkataba! Upi ushauri wako?

Kikubwa ninachoweza kukushauri ni kuwa na lugha nzuri na huduma kwa wateja (good customer care) na pia kuwa mwaminifu kwa wateja, mwisho usitake bei za tamaa utakimbiza wateja.

Kipindi hiki bolt na uber wamesimama utapata wateja wengi kwahiyo kazi kwako
 
Uko wapi, kama unaishi maeneo ua mjini jiunge uber na bolt,
Epuka mademu(wadangaji) wanapenda kitonga, watakulostisha
Timiza mkataba wako.

Ukimaliza mkataba usiiuze, fanya umejipa mkataba.
 
Back
Top Bottom