Hatimae nimepata nafasi ya kwenda kumfanyia madame B massage

Philip Dominick

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2013
Posts
1,021
Reaction score
189
Nashukuru madame kwa kuniona nafaa na kunipa nafasi ya kuja kukufanyia masaji mara 3 kwa wiki,nakuahdi ntafanya kazi kwa ufanisi na ntajitma kwa yote utakayo hitaji toka kwangu.

Ahsante Madame B.
 
Anayepaswa kutangaza matokeo ni muajiri na si muajiriwa.
Madame B kuja huku utoe ufafanuzi zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Umeshikwa masikio na mdada? daah! cheki unavyoyoyoma!
massage utafanya wewe kugegeda wagegede wengine...
 
Nashukuru madame kwa kuniona nafaa na kunipa nafasi ya kuja kukufanyia masaji mara 3 kwa wiki,nakuahdi ntafanya kazi kwa ufanisi na ntajitma kwa yote utakayo hitaji toka kwangu.

Ahsante Madame B.
Kucha zako huzipend?
 
Nashukuru madame kwa kuniona nafaa na kunipa nafasi ya kuja kukufanyia masaji mara 3 kwa wiki,nakuahdi ntafanya kazi kwa ufanisi na ntajitma kwa yote utakayo hitaji toka kwangu.

Ahsante Madame B.

Mkuu! Na yale mapingili kiunoni kuelekea mgongoni utayaweza kweli? Natumai kibarua chako hakitakuwa rahisi hata kidogo.
 
Back
Top Bottom