Philip Dominick
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 1,021
- 189
Umeshikwa masikio na mdada? daah! cheki unavyoyoyoma!
massage utafanya wewe kugegeda wagegede wengine...
Madame B wako wawili mmoja ni duplicate na mwingine ni genuine cjui umeongea na yupi?
Madame B wako wawili mmoja ni duplicate na mwingine ni genuine cjui umeongea na yupi?
Umeshikwa masikio na mdada? daah! cheki unavyoyoyoma!
massage utafanya wewe kugegeda wagegede wengine...
Unafahamu maana ya "duplicate"??
Majanga ahahaha majanga
Kucha zako huzipend?Nashukuru madame kwa kuniona nafaa na kunipa nafasi ya kuja kukufanyia masaji mara 3 kwa wiki,nakuahdi ntafanya kazi kwa ufanisi na ntajitma kwa yote utakayo hitaji toka kwangu.
Ahsante Madame B.
Kucha zako huzipend?
Nashukuru madame kwa kuniona nafaa na kunipa nafasi ya kuja kukufanyia masaji mara 3 kwa wiki,nakuahdi ntafanya kazi kwa ufanisi na ntajitma kwa yote utakayo hitaji toka kwangu.
Ahsante Madame B.
Mkuu! Na yale mapingili kiunoni kuelekea mgongoni utayaweza kweli? Natumai kibarua chako hakitakuwa rahisi hata kidogo.
Bado nasubiria maana alivyolitimia hilo neno nimeshindwa kuelewa.
Mbna hajakujibu
Dah,mbna wantisha umejuaje madame anamapingili
Unafahamu maana ya "duplicate"??