Mile ndio MmeKwan nae anatumiwa na kina mwigulu
Khe kwani lazima!?
Kama co lazma mbna mnalazmishana
Hahahaha! Nilimfuma mtoto wa Saa 8(ambaye alikuwa anamiliki hicho kifaa. Sijui kama bado anamilikimpaka sasa?) akimsimulia habari za mapingili ya madam B mshikaji wake.
Mile ndio Mme
Unasemea Ben,au?
Huyohuyo
Hongera sana. Najua utapata ajira ya kudumu kamd utakomaa.