Hatimae nimeweza kupika chapati

[emoji3][emoji3][emoji3]hazijaiva na umezipunja mafuta
[emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45]
 
unatumia unga aina gani?pili unasukumia mduara kwenye flat surface au kibao cha chapati?unatumia mafuta aina gani wakati wa kukanda na wakati wa kusukuma?mafuta ya baridi au ya vuguvugu?maji je?
Maji vuguvugu

Mafuta yakukandia ya baridi

Natumia kibao chachapati kusukumia lakini naona kinabonde katikati ........nmekiazima kwa jirani
 
[emoji144] [emoji144] [emoji144] nifundishe basi mkuu

Natanguliza shukrani
 
Maji vuguvugu

Mafuta yakukandia ya baridi

Natumia kibao chachapati kusukumia lakini naona kinabonde katikati ........nmekiazima kwa jirani
Tumia unga wa ppf,maji ya vuguvugu,mafuta ya vuguvugu,chunvi na ukipenda sukari kidogo,chunvi na sukari ina combination nzuri kutaste,then ukimaliza kukanda unausukuma duara moja kubwa unapaka marharine,au blueband unatengeneza duara individual.kusukuma uwe unasukuma upande mmoja inakuwa oval shape then unazunguusha kibao unasukuma oval nyingine against the first one unapata duara kirahisi,weka unga wa kutosha kwenye kibao wakati unasukuma hyo duara shape,usiweke unga mwingi,unga wa kutosha!Mwisho kabisa nunua kibao chako ni elfu 3 kama sio elfu 2!usiazime vitu vya kawaida azima labda gari!hahahaha!
 
Asante kwa maelekezo ntajaribu sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…