Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Yesu Ruwaa....Leo katika harakati za kuandaa chakula cha usiku nmefanikiwa kupika chapati nzuri
Nashukuru kwa michango yenu kwa namna moja au nyingine
View attachment 429766
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yesu Ruwaa....Leo katika harakati za kuandaa chakula cha usiku nmefanikiwa kupika chapati nzuri
Nashukuru kwa michango yenu kwa namna moja au nyingine
View attachment 429766
Na ndo nyie mnakesha kwa manabii ile muolewe..!!!Hayo mapishi ya ngano ngano yalishanishinda kabisa
Wewe umeolewa?Na ndo nyie mnakesha kwa manabii ile muolewe..!!!
Ndoa!! Mtasubiri sana....
lol! Hahahahaha Evelyn Salt chapati zake mwanzoni zilikuwa zina muonekano kama huu na mwenyewe akasema mduara kawaachia mamodel ila siku hizi mduara naye anauweza sana. Nadhani nimeeleweka.
Mungu Anakuonahiz chapati kumbe[emoji23]kwa shape zinaonekana kama vipande vya ukoko.
[emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45][emoji3][emoji3][emoji3]hazijaiva na umezipunja mafuta
unakosea kujibu hivyo usi
unakosea kujibu hivyo usitawaliwe na kumtetea tu mtu au kuwa na jazba,nilidhani utamfundisha vipi ziwe raundi kumbe nawe hujui,basi me ngoja nimfundishe, am a corporate chef by proffesion kwa hyo mtu akikosea unaona,na ni vizuri kumkosoa!
Maji vuguvuguunatumia unga aina gani?pili unasukumia mduara kwenye flat surface au kibao cha chapati?unatumia mafuta aina gani wakati wa kukanda na wakati wa kusukuma?mafuta ya baridi au ya vuguvugu?maji je?
Msema kweli mpenzi wa munguChapati hata mm cjui mbna
[emoji2] [emoji2] [emoji2] unataka kusemaje mkuuChapati zako bwana
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji17] [emoji17]hiz chapati kumbe[emoji23]kwa shape zinaonekana kama vipande vya ukoko.
Ngoja nianze zoezi la kushape round ntaleta mrejeshoNilipitia humo humo, lakini kaka zangu walikuwa wanapenda kula walisema chapatti ni tamu, kwahiyo ninaelewa yanayomsibu mleta mada.
[emoji144] [emoji144] [emoji144] nifundishe basi mkuuMe sitaki kumkatisha tamaa nataka kumfundisha sio chapati tu,ntamfundisha vitafunwa vingi tu,yeye tu na mda wake,and believe u me,she will be an expert,tena ntamfundisha bure if she is willing!chapati ina taste,muonekano yaani rangi ,texture yake na shape yake,kisikosekane hata kimoja ndipo itaitwa chapati.kaka zako labda walikuwa hawazijui ndio maana wakakusifu maybe mkuu!African men are not cooks unless awe amesomea!u wana join the class?
Tumia unga wa ppf,maji ya vuguvugu,mafuta ya vuguvugu,chunvi na ukipenda sukari kidogo,chunvi na sukari ina combination nzuri kutaste,then ukimaliza kukanda unausukuma duara moja kubwa unapaka marharine,au blueband unatengeneza duara individual.kusukuma uwe unasukuma upande mmoja inakuwa oval shape then unazunguusha kibao unasukuma oval nyingine against the first one unapata duara kirahisi,weka unga wa kutosha kwenye kibao wakati unasukuma hyo duara shape,usiweke unga mwingi,unga wa kutosha!Mwisho kabisa nunua kibao chako ni elfu 3 kama sio elfu 2!usiazime vitu vya kawaida azima labda gari!hahahaha!Maji vuguvugu
Mafuta yakukandia ya baridi
Natumia kibao chachapati kusukumia lakini naona kinabonde katikati ........nmekiazima kwa jirani
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji40] [emoji40] [emoji40]Hihihiii hizi chapati zina masikio makubwa kama ya Obama
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Yesu Ruwaa....
Asantepole mpenzii!!
soryy usikate tamaa!jifunze tu vingi utawezaa!!!
Asante kwa maelekezo ntajaribu sasaTumia unga wa ppf,maji ya vuguvugu,mafuta ya vuguvugu,chunvi na ukipenda sukari kidogo,chunvi na sukari ina combination nzuri kutaste,then ukimaliza kukanda unausukuma duara moja kubwa unapaka marharine,au blueband unatengeneza duara individual.kusukuma uwe unasukuma upande mmoja inakuwa oval shape then unazunguusha kibao unasukuma oval nyingine against the first one unapata duara kirahisi,weka unga wa kutosha kwenye kibao wakati unasukuma hyo duara shape,usiweke unga mwingi,unga wa kutosha!Mwisho kabisa nunua kibao chako ni elfu 3 kama sio elfu 2!usiazime vitu vya kawaida azima labda gari!hahahaha!
Mi naoa wewe...Unataka nikuoe..?Wewe umeolewa?
HapanaMi naoa wewe...Unataka nikuoe..?
Wapi nimeropoka ...???Hapana
Nashukuru mkuu
Sipendagi waropokaji