Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mradi ladha ni tamu ukitaka round shape tafuta football.
Kwanini? Ila nmejitahidi mkuu we hujui tu
unakosea kujibu hivyo usitawaliwe na kumtetea tu mtu au kuwa na jazba,nilidhani utamfundisha vipi ziwe raundi kumbe nawe hujui,basi me ngoja nimfundishe, am a corporate chef by proffesion kwa hyo mtu akikosea unaona,na ni vizuri kumkosoa!Mradi ladha ni tamu ukitaka round shape tafuta football.
unatumia unga aina gani?pili unasukumia mduara kwenye flat surface au kibao cha chapati?unatumia mafuta aina gani wakati wa kukanda na wakati wa kusukuma?mafuta ya baridi au ya vuguvugu?maji je?Leo katika harakati za kuandaa chakula cha usiku nmefanikiwa kupika chapati nzuri
Nashukuru kwa michango yenu kwa namna moja au nyingine
View attachment 429766
Nilipitia humo humo, lakini kaka zangu walikuwa wanapenda kula walisema chapatti ni tamu, kwahiyo ninaelewa yanayomsibu mleta mada.unakosea kujibu hivyo usi
unakosea kujibu hivyo usitawaliwe na kumtetea tu mtu au kuwa na jazba,nilidhani utamfundisha vipi ziwe raundi kumbe nawe hujui,basi me ngoja nimfundishe, am a corporate chef by proffesion kwa hyo mtu akikosea unaona,na ni vizuri kumkosoa!
Me sitaki kumkatisha tamaa nataka kumfundisha sio chapati tu,ntamfundisha vitafunwa vingi tu,yeye tu na mda wake,and believe u me,she will be an expert,tena ntamfundisha bure if she is willing!chapati ina taste,muonekano yaani rangi ,texture yake na shape yake,kisikosekane hata kimoja ndipo itaitwa chapati.kaka zako labda walikuwa hawazijui ndio maana wakakusifu maybe mkuu!African men are not cooks unless awe amesomea!u wana join the class?Nilipitia humo humo, lakini kaka zangu walikuwa wanapenda kula walisema chapatti ni tamu, kwahiyo ninaelewa yanayomsibu mleta mada.
Any charges?Me sitaki kumkatisha tamaa nataka kumfundisha sio chapati tu,ntamfundisha vitafunwa vingi tu,yeye tu na mda wake,and believe u me,she will be an expert,tena ntamfundisha bure if she is willing!chapati ina taste,muonekano yaani rangi ,texture yake na shape yake,kisikosekane hata kimoja ndipo itaitwa chapati.kaka zako labda walikuwa hawazijui ndio maana wakakusifu maybe mkuu!African men are not cooks unless awe amesomea!u wana join the class?
no my dear,its free of charge!Any charges?
Count me in pls, and thank you in advance.no my dear,its free of charge!
u are welcome,ask anything in cookery l will teach u!u can ask here u can PM me ntakujibu na kuykufundisha!with no strings attached!Count me in pls, and thank you in advance.
Usimwambie hivyo mkuu!Hihihiii hizi chapati zina masikio makubwa kama ya Obama
hiz chapati kumbe[emoji23]kwa shape zinaonekana kama vipande vya ukoko.
Usimwambie hivyo mkuu!