Hatimae nimeweza kupika chapati

Hatimae nimeweza kupika chapati

unakosea kujibu hivyo usi
Mradi ladha ni tamu ukitaka round shape tafuta football.
unakosea kujibu hivyo usitawaliwe na kumtetea tu mtu au kuwa na jazba,nilidhani utamfundisha vipi ziwe raundi kumbe nawe hujui,basi me ngoja nimfundishe, am a corporate chef by proffesion kwa hyo mtu akikosea unaona,na ni vizuri kumkosoa!
 
Leo katika harakati za kuandaa chakula cha usiku nmefanikiwa kupika chapati nzuri

Nashukuru kwa michango yenu kwa namna moja au nyingine

View attachment 429766
unatumia unga aina gani?pili unasukumia mduara kwenye flat surface au kibao cha chapati?unatumia mafuta aina gani wakati wa kukanda na wakati wa kusukuma?mafuta ya baridi au ya vuguvugu?maji je?
 
hiz chapati kumbe[emoji23]kwa shape zinaonekana kama vipande vya ukoko.
 
unakosea kujibu hivyo usi

unakosea kujibu hivyo usitawaliwe na kumtetea tu mtu au kuwa na jazba,nilidhani utamfundisha vipi ziwe raundi kumbe nawe hujui,basi me ngoja nimfundishe, am a corporate chef by proffesion kwa hyo mtu akikosea unaona,na ni vizuri kumkosoa!
Nilipitia humo humo, lakini kaka zangu walikuwa wanapenda kula walisema chapatti ni tamu, kwahiyo ninaelewa yanayomsibu mleta mada.
 
Nilipitia humo humo, lakini kaka zangu walikuwa wanapenda kula walisema chapatti ni tamu, kwahiyo ninaelewa yanayomsibu mleta mada.
Me sitaki kumkatisha tamaa nataka kumfundisha sio chapati tu,ntamfundisha vitafunwa vingi tu,yeye tu na mda wake,and believe u me,she will be an expert,tena ntamfundisha bure if she is willing!chapati ina taste,muonekano yaani rangi ,texture yake na shape yake,kisikosekane hata kimoja ndipo itaitwa chapati.kaka zako labda walikuwa hawazijui ndio maana wakakusifu maybe mkuu!African men are not cooks unless awe amesomea!u wana join the class?
 
Any charges?
 
Mwanzo mzuri.Kama umeona umuhimu
wa kujifunza kupika,hapo nakupongeza
badala ya kuwategemea mahouse girl
utadhani mkiolewa mnaenda nao.

Ongera kwa kuanza mazoezi
hapo wazazi wakipewa mahali
hawatakuwa na wasiwasi
wa kumrudishia muoaji.😉
 
Hihihiii hizi chapati zina masikio makubwa kama ya Obama
 
Usimwambie hivyo mkuu!

Nimefurahi sababu wakati najifunza na mie shepu zilikuwa zaidi ya hizo, zilikuwa km ramani ya dunia halafu hamna alienikopesha maneno kwa kunipetipeti kuwa nimejitahidi lol!! Nilipata makavu live hadi chapati ikawa round automatically [emoji23]
Kanikumbusha mbali lol
 
Back
Top Bottom