Hatimae nishafika.

hali ya hewa nzuri sana.pia ardhi nzuri kwa ajili ya kilimo ila usafiri tabu.

Vp kuhusu hosp, maji, umeme, na huo usafiri unapatikana kwa mda gani/tabu yake ni ipi?
 
labda gunia la chawaa! Nakutamanijeeee! Dah miye naenda kulima alizet wallah darasani ntakuwa naenda mwisho wa mwezi !!
 
Hongera kwa kufika salama' mm sijui ntafkaje huko nlipopangwa
 
Ndo unaelekea kule Nanguruwe?

ha ha ha naelekea kishabu cjui kishapu!! He he he! Wee nipo ndani ya ABC burudaaniii murua hapa na soda yangu mziki kwa mbaali mwalimu mie !!!
 
he he unapanda TIPA kwenda shule!!

Kwa hiyo unaenda shule ukiwa na nguo za kubadilisha, taulo, sabuni ya kuogea na ka dresing table kabisa, ukifika tu unaoga kwanza kabla ya kuingia darasani.
 
Vp kuhusu hosp, maji, umeme, na huo usafiri unapatikana kwa mda gani/tabu yake ni ipi?

hosp ipo center umeme na maji ya visima ila ukitupwa ndani usahau kuviona hivo vitu nilichofurahia tu ni ardhi nzuri nitalima sana mahindi maana nishazoea kwetu kyela kulima mpunga.
 
hosp ipo center umeme na maji ya visima ila ukitupwa ndani usahau kuviona hivo vitu nilichofurahia tu ni ardhi nzuri nitalima sana mahindi maana nishazoea kwetu kyela kulima mpunga.

Mwee, naomba dada apangiwe mjini.

Unataka kulima kwani huko hakuna mgodi wowote?
 
Kwa hiyo unaenda shule ukiwa na nguo za kubadilisha, taulo, sabuni ya kuogea na ka dresing table kabisa, ukifika tu unaoga kwanza kabla ya kuingia darasani.

ha ha ha ha ha !!!! Huko kila shule ina chumba cha walimu wa kike na kiume cha kubadili nguo! Yani huku begi la materials huku la nguo hadi mabega yashuke hayo! Hapo viatu kiwi havijui soli imeenda upande !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…