DZUDZUKU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2012
- 3,909
- 2,115
hali ya hewa nzuri sana.pia ardhi nzuri kwa ajili ya kilimo ila usafiri tabu.
Vp kuhusu hosp, maji, umeme, na huo usafiri unapatikana kwa mda gani/tabu yake ni ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hali ya hewa nzuri sana.pia ardhi nzuri kwa ajili ya kilimo ila usafiri tabu.
yani wewe nakutamani kama nini wamekupangia kyela kwetu hadi raha.
Nkianza kunyemelea udada ntakuwa shoga.
Kuna dada yangu kapangiwa kwimba na hivi sasa yupo njiani kuingia Mwanza (alitoka jana Dom)
Mie nmepangiwa Kyela aisee, kuna mawese kule, maparachichi meeeeengi bila kusahau ubwabwa super unao uzwa kwa gharama Tz nzima ila nikiwa kule bei cheeeeeee, kitu kingine kule nnapakana na Malawi, najua unajua nn kitaendelea nikiwa mjasilia mali.
Mungu anipe nini mie?
kutoka Mabuki mpaka kwimba pafupi eeh au unafanya mchezo.
Vp kuhusu hosp, maji, umeme, na huo usafiri unapatikana kwa mda gani/tabu yake ni ipi?
Ndo unaelekea kule Nanguruwe?
Hongera kwa kufika salama' mm sijui ntafkaje huko nlipopangwa
he he unapanda TIPA kwenda shule!!
Vp kuhusu hosp, maji, umeme, na huo usafiri unapatikana kwa mda gani/tabu yake ni ipi?
kutoka Mabuki mpaka kwimba pafupi eeh au unafanya mchezo.
he he unapanda TIPA kwenda shule!!
kwani hamna usafiri??
Hahahaaa, umeshavijua na vijiji...........we tunakusahau huku Kyela.
hosp ipo center umeme na maji ya visima ila ukitupwa ndani usahau kuviona hivo vitu nilichofurahia tu ni ardhi nzuri nitalima sana mahindi maana nishazoea kwetu kyela kulima mpunga.
usafiri wa kuvizia
Kwa hiyo unaenda shule ukiwa na nguo za kubadilisha, taulo, sabuni ya kuogea na ka dresing table kabisa, ukifika tu unaoga kwanza kabla ya kuingia darasani.
usafiri wa kuvizia
We unapaona parefu kwa sababu hujapazoea.