Hongera kwa kufika salama' mm sijui ntafkaje huko nlipopangwa
Nmesikia daraja limesombwa na mafuriko
ha ha ha ha ha !!!! Huko kila shule ina chumba cha walimu wa kike na kiume cha kubadili nguo! Yani huku begi la materials huku la nguo hadi mabega yashuke hayo! Hapo viatu kiwi havijui soli imeenda upande !!
Mh, haya mambo ya kuvizia tena, huko hakuna nguruwe (Noah)?
Usafiri unataka kwenda wapi? Acha uzururaji mwalimu. Piga kazi na muda wa ziada ulime. Vizia katibu kata hapo akuwowe shaaaa! Mungu akupe nini?
Usafiri unataka kwenda wapi? Acha uzururaji mwalimu. Piga kazi na muda wa ziada ulime. Vizia katibu kata hapo akuwowe shaaaa! Mungu akupe nini?
ha ha utakoma nakwambia hakuna nguruwe wala vipanya ukakope baiskeli !!
Mwee, naomba dada apangiwe mjini.
Unataka kulima kwani huko hakuna mgodi wowote?
We unapaona parefu kwa sababu hujapazoea.
Alooo, ukijifungia kijijini akili inadumaa, siku ukitokelezea mjini.............utajuta.
Usafiri unataka kwenda wapi? Acha uzururaji mwalimu. Piga kazi na muda wa ziada ulime. Vizia katibu kata hapo akuwowe shaaaa! Mungu akupe nini?
Karibu sana Kwimba ha ha hakatibu kata ha ha ha mbona tutakula sana hela za mihuri.
Fanya kazi kadri unavyolipwa!!!
ha ha ha naelekea kishabu cjui kishapu!! He he he! Wee nipo ndani ya ABC burudaaniii murua hapa na soda yangu mziki kwa mbaali mwalimu mie !!!
Ahsanteeee ndio nishafika kwetu watanisahau sana ngoja nijenge taifa na kusaka maisha mtoto wa kike mie.
hilo tena mbona ndio wazo langu masters haraka sana.ila ndugu wasahau kuniona maana huku ni chimbo sana.