Hatimae nishafika.

Hatimae nishafika.

ha ha ha ha ha !!!! Huko kila shule ina chumba cha walimu wa kike na kiume cha kubadili nguo! Yani huku begi la materials huku la nguo hadi mabega yashuke hayo! Hapo viatu kiwi havijui soli imeenda upande !!

Wakati walimu wakiwa wanafanya fasion show, sijui wanafunzi watasoma saangapi.

Haka ndio ka Tz bwana, ardhi kubwa, watu wachache, miundo mbinu mibovu.
 
Usafiri unataka kwenda wapi? Acha uzururaji mwalimu. Piga kazi na muda wa ziada ulime. Vizia katibu kata hapo akuwowe shaaaa! Mungu akupe nini?

Alooo, ukijifungia kijijini akili inadumaa, siku ukitokelezea mjini.............utajuta.
 
Usafiri unataka kwenda wapi? Acha uzururaji mwalimu. Piga kazi na muda wa ziada ulime. Vizia katibu kata hapo akuwowe shaaaa! Mungu akupe nini?

ha ha anakuwa mama katibu kata rahaje?? Vihela vya mihuri havimpitiii! Ha ha dah!
 
ha ha utakoma nakwambia hakuna nguruwe wala vipanya ukakope baiskeli !!

aaah vinoah vipo sana maana nasikia sauti kwa jirani vinapiga kelele nikapata wazo fasta la kua mfugaji pia.
 
Mwee, naomba dada apangiwe mjini.

Unataka kulima kwani huko hakuna mgodi wowote?

mjini kupangiwa dadaako ni ngumu sana labda aje afanye mishe.suala la mgodi sijalisikia kwa kweli.
 
Alooo, ukijifungia kijijini akili inadumaa, siku ukitokelezea mjini.............utajuta.

kwanza kuendelea ni ngumu sana utajiona upo juu kwa kujifananisha na watu wa kijijini ila ukifika town unaweza ujione we ndio maskin wa mwisho
 
Usafiri unataka kwenda wapi? Acha uzururaji mwalimu. Piga kazi na muda wa ziada ulime. Vizia katibu kata hapo akuwowe shaaaa! Mungu akupe nini?

katibu kata ha ha ha mbona tutakula sana hela za mihuri.
 
Ahsanteeee ndio nishafika kwetu watanisahau sana ngoja nijenge taifa na kusaka maisha mtoto wa kike mie.
 
Back
Top Bottom