DZUDZUKU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2012
- 3,909
- 2,115
Ukienda kusoma masters ni kwa ajili ya nini?
Kasome Maslow utaelewa kwa nini anataka masters.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukienda kusoma masters ni kwa ajili ya nini?
ha ha ha hapana vp kuna nini?
ok ile philosophy ya 'nhonga mbele ekang'hwaga minze melho' yaani ngombe aliyetangulia hunywa maji yaliyo safi!!tunaenda kuchakachua tupate shule zenye uafadhali !!
anataka kuleta poosaa!! Ariririiiiiiii! Mwalimu huyooo anaolewa! Maharii kishatolewa !!!!
ok ile philosophy ya 'nhonga mbele ekang'hwaga minze melho' yaani ngombe aliyetangulia hunywa maji yaliyo safi!!
hujafika tu kishapu
ha ha mkuu nshafika muda mwiingi nipo zangu wilayani hapa !
ha ha mkuu nshafika muda mwiingi nipo zangu wilayani hapa !
For 'self actualization,' according to Abraham Maslow
au DZUDZUKU unasemaje hapo?
ha ha ha hapana vp kuna nini?
Jibu lake si umeshalisoma?
Natafuta fursa kimyakimya...
:majani7: