Hatimae Putin aweka makubaliano yake na Zelesky wazi hadi aliamua kuondosha majeshi yake Kiev

Hatimae Putin aweka makubaliano yake na Zelesky wazi hadi aliamua kuondosha majeshi yake Kiev

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
14,809
Reaction score
11,825
Raisi Putin asema alishakubaliana rasmi na Ukraine kumaliza Vita baada ya Ukraine kukubali kuwa nchi huru bila NATO na aliahidi ulinzi dhidi ya Ukraine in future ila aliomba uwe mkataba wa siri lakini Ukraine ikawageuka tena tizama huu mkataba aliwaambia Maraisi wa Africa... so ndio maana haachi kupigana... Tizama Video..

Raisi Putin asema alishakubaliana rasmi na Ukraine kumaliza Vita baada ya Ukraine kukubali kuwa nchi huru bila NATO na aliahidi ulinzi dhidi ya Ukraine in future ila aliomba uwe mkataba wa siri lakini Ukraine ikawageuka tena tizama huu mkataba aliwaambia Maraisi wa Africa... so ndio maana haachi kupigana... Tizama Video

View attachment 2663507
Walimlaghai?
 
Yaani avamie nchi za watu, aue watu halafu alazimishe mkataba wa kitapeli?

War is fought on deception. Kama aliibeep Ukraine sasa inampigia.
Anaepigiwa nani UKRAINE [emoji1255] imeharibika naitazidi kuharibika mpaka watakapokua na adabu
UKRAINE [emoji1255] imetaka yenyewe kupigwa naacha ipigwe mpaka itakapokua na adabu itasamehewa
Kwamujibu wa DW kiswahili leo asubuhi wanasema mpaka Sasa 20% au zaidi ya ardhi ya UKRAINE [emoji1255] ipo chini ya milki ya Russia [emoji635]
Sawa acha UKRAINE [emoji1255] aendelee kupiga
 
Screenshot_20230620-230002.png
 
Raisi Putin asema alishakubaliana rasmi na Ukraine kumaliza Vita baada ya Ukraine kukubali kuwa nchi huru bila NATO na aliahidi ulinzi dhidi ya Ukraine in future ila aliomba uwe mkataba wa siri lakini Ukraine ikawageuka tena tizama huu mkataba aliwaambia Maraisi wa Africa... so ndio maana haachi kupigana... Tizama Video..

Umenikumbusha DP Word Maraisi washakubaliana and raia wanagoma wengine wanaandamana

View attachment 2663507
Was DP world part necessary?
 
Back
Top Bottom