Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Huu msaada na training kutoka NATO matokeo yake yalionekana juzi juzi hapa, baada ya majeshi ya Ukraine and some NATO troops kutandikwa vilivyo na majeshi ya Urusi baada ya Zelensky kutamba kwamba yuko mbioni kutekeleza mpango wake kabambe wa counter offensive dhidi ya majeshi ya Urusi.An a chef anya Urusi kwa Ukraine , ndo alichofanya Iraq kwa Iran au N.Korea kwa S korea , kila mkasa uliishia mnyonge kuwa imara zaidi ya mbabe na huu wa Urusi utaishia hivyo , Urusi anaifanya Ukraine iwe imara zaidi kwa misaada na training , na ndio maana USA anaogopa sana vamia majiran maana watapata msaada na training ambapo baada ya vita hawatakuwa wale wazamani
Kila mtu mwenye akili timamu aliona kilicho wapata jeshi la Ukraine licha ya kuwa na msaada wa silaha nyingi kutoka NATO specifically the USA, mbona vifaru vyao na magari ya deraya pamoja ni Patriot ADS vyote vilitiwa kiberiti kwa kutumia silaha za Russia, Dunia akishuhudia for the first time jinsi silaha za Russia zilivyo more effective.