Hatimae Putin aweka makubaliano yake na Zelesky wazi hadi aliamua kuondosha majeshi yake Kiev

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
14,809
Reaction score
11,825
Raisi Putin asema alishakubaliana rasmi na Ukraine kumaliza Vita baada ya Ukraine kukubali kuwa nchi huru bila NATO na aliahidi ulinzi dhidi ya Ukraine in future ila aliomba uwe mkataba wa siri lakini Ukraine ikawageuka tena tizama huu mkataba aliwaambia Maraisi wa Africa... so ndio maana haachi kupigana... Tizama Video..



Your browser is not able to display this video.
 
Walimlaghai?
 
Yaani avamie nchi za watu, aue watu halafu alazimishe mkataba wa kitapeli?

War is fought on deception. Kama aliibeep Ukraine sasa inampigia.
Anaepigiwa nani UKRAINE [emoji1255] imeharibika naitazidi kuharibika mpaka watakapokua na adabu
UKRAINE [emoji1255] imetaka yenyewe kupigwa naacha ipigwe mpaka itakapokua na adabu itasamehewa
Kwamujibu wa DW kiswahili leo asubuhi wanasema mpaka Sasa 20% au zaidi ya ardhi ya UKRAINE [emoji1255] ipo chini ya milki ya Russia [emoji635]
Sawa acha UKRAINE [emoji1255] aendelee kupiga
 
Was DP world part necessary?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…