akikujibu nitag mkuuPokea pongezi zangu za dhati kwa hatua uliyopiga kiongozi.
Mkuu mie nna maswali kadhaa ningependa kusikia mawili matatu kutoka kwako
1. Hiyo gari ilikuwa Tata marcopolo, Tata Starbus au Tipper?
2.Je, mkopo wa hiyo gari ulikuwa na thamani gani? Ulikuwa wa muda gani?
3.Ulitumia utaratibu gani kufanya marejesho, kwa wiki au mwezi?
4.Ulikutana na changamoto zipi wakati hujamaliza marejesho ya mkopo?
Mwisho kabisa ungependa kuwashauri nini wale ambao wangependa kumiliki gari mpya aina ya TATA kwa njia ya mkopo?
Halafu resolution imekua distorted...probably ni picha ya kudownloadHongereni sana kwa upendo na ushirikiano wa familia yenu...
watu watatu kufeli mkopo ni ngumu sana
ila picha kama ya mitandaoni vile.... maana hivyo vinywaji sioni vya kibongo.. na hayo mapilau hayajakaa kiuhalisia wa mapilau ya kibongo
Hapo sio kiwangwa labda MsataHi great thinkers. Leo Nina furaha isiyo na kifani tumekamilisha marejesho Kwa Mhindi.Mwaka 2017 January Mimi kaka na Dada yetu tumekamilisha marejesho leo asubuhi Kwa muhindi.
Hatimae gari imekuwa yetu rasmi bado ipo katika hali nzuri leo inapata service Kwa mchaga kesho tuanze kusanya zetu.Hapa tupo Kiwangwa kuku anachomeka ndizi mkaango castle kopo za kutosha zinamiminika makooni.
Nawaasa msiogope mikopo jamani tupige maisha ukiwa na plan nzuri unatusua.
Hi picha ya chakula umechukua Google.[emoji3][emoji3][emoji3]Hi great thinkers. Leo Nina furaha isiyo na kifani tumekamilisha marejesho Kwa Mhindi.Mwaka 2017 January Mimi kaka na Dada yetu tumekamilisha marejesho leo asubuhi Kwa muhindi.
Hatimae gari imekuwa yetu rasmi bado ipo katika hali nzuri leo inapata service Kwa mchaga kesho tuanze kusanya zetu.Hapa tupo Kiwangwa kuku anachomeka ndizi mkaango castle kopo za kutosha zinamiminika makooni.
Nawaasa msiogope mikopo jamani tupige maisha ukiwa na plan nzuri unatusua.
Lengo lako la kutuhabarisha ni zuri, lakini halitusaidii kimaisha kwa sababu hujatoa mchanganuo wa mahesabu ili wengine tujifunzeHi great thinkers. Leo Nina furaha isiyo na kifani tumekamilisha marejesho Kwa Mhindi.Mwaka 2017 January Mimi kaka na Dada yetu tumekamilisha marejesho leo asubuhi Kwa muhindi.
Hatimae gari imekuwa yetu rasmi bado ipo katika hali nzuri leo inapata service Kwa mchaga kesho tuanze kusanya zetu.Hapa tupo Kiwangwa kuku anachomeka ndizi mkaango castle kopo za kutosha zinamiminika makooni.
Nawaasa msiogope mikopo jamani tupige maisha ukiwa na plan nzuri unatusua.
Tulichukua Kwa punguzo milioni 80m ilitumika miezi minne mtu akashindwa marejesho, sisi tukalipa milioni 40 cash tukawa tunarejesha milioni tatu laki tatu na points something kila mwezi.Lengo lako la kutuhabarisha ni zuri, lakini halitusaidii kimaisha kwa sababu hujatoa mchanganuo wa mahesabu ili wengine tujifunze
Tatizo ushamba Botega Gold red wines zipo hapa bongo umezoea misukari yako inayokuchachisha domo unaleta ujuaji pita kimya kimya kama hujavutiwa na thread yangu kabla sijakuhifadhi ktk teknolojia[emoji35]Wabongo kwa kutafta sifa! Mivyakula at cyo ya kiafrika umeidownload uwatishe watu matokeo yake unavuna fedhaha!
Hata macho tu yanakataa