Shinbet18
JF-Expert Member
- Jan 17, 2018
- 255
- 263
Hi great thinkers. Leo Nina furaha isiyo na kifani tumekamilisha marejesho Kwa Mhindi. Mwaka 2017 January Mimi kaka na Dada yetu tumekamilisha marejesho leo asubuhi Kwa muhindi.
Hatimae gari imekuwa yetu rasmi bado ipo katika hali nzuri leo inapata service Kwa mchaga kesho tuanze kusanya zetu. Hapa tupo Kiwangwa kuku anachomeka ndizi mkaango castle kopo za kutosha zinamiminika makooni.
Nawaasa msiogope mikopo jamani tupige maisha ukiwa na plan nzuri unatusua.