Hatimae tunamiliki TATA yetu baada ya kumaliza marejesho

Shinbet18

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2018
Posts
255
Reaction score
263
Hi great thinkers. Leo Nina furaha isiyo na kifani tumekamilisha marejesho Kwa Mhindi. Mwaka 2017 January Mimi kaka na Dada yetu tumekamilisha marejesho leo asubuhi Kwa muhindi.

Hatimae gari imekuwa yetu rasmi bado ipo katika hali nzuri leo inapata service Kwa mchaga kesho tuanze kusanya zetu. Hapa tupo Kiwangwa kuku anachomeka ndizi mkaango castle kopo za kutosha zinamiminika makooni.

Nawaasa msiogope mikopo jamani tupige maisha ukiwa na plan nzuri unatusua.

12e0387fa86ac64c04aa46c1d3cbd168.jpg
 
Hongereni sana kwa upendo na ushirikiano wa familia yenu...

Watu watatu kufeli mkopo ni ngumu sana

Ila picha kama ya mitandaoni vile.... maana hivyo vinywaji sioni vya kibongo.. na hayo mapilau hayajakaa kiuhalisia wa mapilau ya kibongo
 
Pokea pongezi zangu za dhati kwa hatua uliyopiga kiongozi.
Mkuu mie nna maswali kadhaa ningependa kusikia mawili matatu kutoka kwako
1. Hiyo gari ilikuwa Tata marcopolo, Tata Starbus au Tipper?
2.Je, mkopo wa hiyo gari ulikuwa na thamani gani? Ulikuwa wa muda gani?
3.Ulitumia utaratibu gani kufanya marejesho, kwa wiki au mwezi?
4.Ulikutana na changamoto zipi wakati hujamaliza marejesho ya mkopo?
Mwisho kabisa ungependa kuwashauri nini wale ambao wangependa kumiliki gari mpya aina ya TATA kwa njia ya mkopo?
 
akikujibu nitag mkuu
 
Hongereni sana kwa upendo na ushirikiano wa familia yenu...

watu watatu kufeli mkopo ni ngumu sana

ila picha kama ya mitandaoni vile.... maana hivyo vinywaji sioni vya kibongo.. na hayo mapilau hayajakaa kiuhalisia wa mapilau ya kibongo
Halafu resolution imekua distorted...probably ni picha ya kudownload
 
Hi great thinkers. Leo Nina furaha isiyo na kifani tumekamilisha marejesho Kwa Mhindi.Mwaka 2017 January Mimi kaka na Dada yetu tumekamilisha marejesho leo asubuhi Kwa muhindi.

Hatimae gari imekuwa yetu rasmi bado ipo katika hali nzuri leo inapata service Kwa mchaga kesho tuanze kusanya zetu.Hapa tupo Kiwangwa kuku anachomeka ndizi mkaango castle kopo za kutosha zinamiminika makooni.

Nawaasa msiogope mikopo jamani tupige maisha ukiwa na plan nzuri unatusua.
12e0387fa86ac64c04aa46c1d3cbd168.jpg
Hapo sio kiwangwa labda Msata
 
Hi picha ya chakula umechukua Google.[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hi great thinkers. Leo Nina furaha isiyo na kifani tumekamilisha marejesho Kwa Mhindi.Mwaka 2017 January Mimi kaka na Dada yetu tumekamilisha marejesho leo asubuhi Kwa muhindi.

Hatimae gari imekuwa yetu rasmi bado ipo katika hali nzuri leo inapata service Kwa mchaga kesho tuanze kusanya zetu.Hapa tupo Kiwangwa kuku anachomeka ndizi mkaango castle kopo za kutosha zinamiminika makooni.

Nawaasa msiogope mikopo jamani tupige maisha ukiwa na plan nzuri unatusua.
12e0387fa86ac64c04aa46c1d3cbd168.jpg
Lengo lako la kutuhabarisha ni zuri, lakini halitusaidii kimaisha kwa sababu hujatoa mchanganuo wa mahesabu ili wengine tujifunze
 
Mimi muhindi alinipigia simu akanialika ofisini kwake kufika akanipa ofa za mikopo ya magari TATA aliniambia cash ni 95m ila mkopo ni 105m yaani natoa kianzio 35m then hiyo milioni 60 inayobaki nalipa kila mwezi kwa muda wa miezi 12 yaani mwaka mmoja.

Na uzuri mambo ya service ni juu yao. Niliipenda Sana hiyo ishu ila nilisita kutokana na kuyumba kwa biashara nyingi wakati huu.
 
Lengo lako la kutuhabarisha ni zuri, lakini halitusaidii kimaisha kwa sababu hujatoa mchanganuo wa mahesabu ili wengine tujifunze
Tulichukua Kwa punguzo milioni 80m ilitumika miezi minne mtu akashindwa marejesho, sisi tukalipa milioni 40 cash tukawa tunarejesha milioni tatu laki tatu na points something kila mwezi.

Changamoto ilikuwa uhaba wa abiria siku moja moja lakini kuna siku unarudisha mashoti ya nyuma. Pia tulimuamini sana konda wetu akawa anaiba.

Katika kuhakikisha mapato yanakuwa mazuri mimi nikaendelea kuendesha konda tukamshusha cheo, kaka akawa konda mapato yakaongezeka kutoka 150,000 hadi 240,000 Kwa siku.

Plan ilikuwa tusikose laki na elfu kumi Kwa siku. Route yetu ni fupi yaani wilaya na wilaya go and return barabara ya vumbi. Lakini tunashukuru Mungu tumemaliza deni na sasa tunamiliki Marcopolo Tata yetu, tunaipenda sana inatulea kwakweli.
 
Wabongo kwa kutafta sifa! Mivyakula at cyo ya kiafrika umeidownload uwatishe watu matokeo yake unavuna fedhaha!
Hata macho tu yanakataa
Tatizo ushamba Botega Gold red wines zipo hapa bongo umezoea misukari yako inayokuchachisha domo unaleta ujuaji pita kimya kimya kama hujavutiwa na thread yangu kabla sijakuhifadhi ktk teknolojia[emoji35]
 
Back
Top Bottom