Medecin
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 8,221
- 22,496
hujanielewa kidogo mkuu ni kuwa hiyo milioni 60 unailipa ndani ya miezi 12 Ina maana unaigawa hiyo 60 kwa 12 kwa hiyo kila mwezi unapeleka milioni 5. Naamini umenielewa mkuu.mkuu kwa mujibu wa maelezo yako hapo ni kwamba milion 60 iwe imerudi ndani ya mwaka inamaana kila mwezi uwe unarudisha milion 60 sasa kwa biashara ya tata inauwezo wa kuleta walau milion 6 kwa mwezi maana tano yao, moja kwa ajili yako posho za madereva bado hatujazungumzia mafuta unaweza kunisaidia kwenye hilo