Hatimae Ukraine imesherehekea Christmas tarehe 25 December kwa mara ya kwanza katika historia

Kumbe dini inapangiwa na kuamuriwa mambo na wanasiasa?
Mbona huwa mnapangiwa mpaka mtu mmoja aone mwezi ndiyo atangaze?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Waarabu wanakula idd ijumaa na wale wa ngozi nyeusi wanakula jumamosi.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Christmass ni tarehe 25 ulimwengu kote. Ikifikia wewe ni kusherehekea tu ila kwa idd ni tofauti mpaka uone mwezi. Atakayewahi kuona mwezi ndiyo anakula. Mwingine anakula ijumaa, mwingine Jumamosi na mwingine jumapili hata J3 mpk uone mweziπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Cheki maputo hayo ya Merry Christmass
 
Mkiambiwa dini yenu ni ya mchongo mnaanza kutukana kama vichaa.
Sasa hiyo ni dini gani ambayo utaratibu wake wa ibada unabadilika kutokana na matakwa ya watu fulani tena wanasiasa?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Katafute chanzo cha kalenda na kuna aina ngapi za kalenda hapa duniani, vile vile ukristo siyo dhehebu ni imani na ndani ya imani ndipo kuna madhehebu mengi ya kila aina kama walivyo waislam....
 
Mkuu mbona unachanganya mambo! Kusherehekea/kuadhimisha kitu kwa kuona mwezi kuna siasa gani? Kwahiyo huo mwezi hua unaonwa na mwanasiasa ndo anawaambia waislam kesho sherehekeeni au anzeni kufunga? Ila pia hapo unaposema wakiristo wote wanasherekea xmas tar 25 dec nadhani ni uongo otherwise kwanini Zelenskyy kabadili utaratibu? Unaongelea wakristo wote au baadhi ya madhehebu kwenye ukiristo?

Kama utanijibuusijichekeshe
 
Ndiyo maana kujitoa kafara ili kuwahi warembo huko kwenye mbingu yao hawaoni ajabu.....ni mwendo wa kujiripua tu...
 
Kikubwa mkombozi wetu alishazaliwa hakuna ulazuma saaana wa kujua tarehe hasa aliyozaliwa
 
Maulidi imeandikwa ni siku gani kwenye Quran?
Hiyo mada yako kapost kwenye social media za kiarabuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mmesema yote ila kwa hili la kuona jinsia moja kanisani mliangalie msishupaze shingo.
 
Maulidi imeandikwa ni siku gani kwenye Quran?
Hiyo mada yako kapost kwenye social media za kiarabuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kwahiyo maulid ilimariwa na mwanasiasa kama ilivofanyika Ukraine? Hoja yangu iko hapa
 
Kwahiyo maulid ilimariwa na mwanasiasa kama ilivofanyika Ukraine? Hoja yangu iko hapa
Inamliwa kutokana na shehe alieona mwezi kila mtu anakula kivyake inategemea na uvumilivu wa njaa ya shehe wengine leo wengine jana wengine keshokutwa mradi vulugu tu
 
Inamliwa kutokana na shehe alieona mwezi kila mtu anakula kivyake inategemea na uvumilivu wa njaa ya shehe wengine leo wengine jana wengine keshokutwa mradi vulugu tu
Mkuu hili mnaliongezea chumvi nyingi lakini uhalisia ni kwamba kwa tofauti ya masaa na hali ya hewa haiwezekani wote muuone mwezi kwa siku moja. Kwahiyo Zelenskyy akigombana tena na nato ambao majority wanasherehekea xmas 25 dec atabadili tena tarehe?
 
Nyuzi za kidini zinakuaga na wangese sana wanajifanya mbingu yao.
 
Kwenya Ukristo hiyo sikukuu sio ibada, kula sio ibada, hata kwenda haja sio ibada unatangulia mguu wowote tu au hata ukiingia kinyumenyume ni sawa.
Kwa hiyo siku ya sikuu huwa mnaenda kanisani kucheza disco we sio kufanya ibada?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sasa ww watu tunaongele sikuu ww unaleta habari za mabkira hapa,hivi uko sawa kweli?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wivu tu kwa sababu Zelenskyy ameamua kufuata kalenda ya dunia nzima ya Gregorian na hakufuata kalenda yenu baada ya kuachana na ile ya Julian ya kina Putin.
Kwa hiyo ni sahihi kiongozi wa kisiasa kuamua masuala ya kiimani yaendeshweje?
Ya kwamba leo inatakiwa Samia awarazimishe wasabato waiamini krisimas ,wanywe pombe na kito moto kama wakatoriki?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe mikesha ya sikuu na ibada siku ya sikuu huwa sio ibada?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…