Hatimae Ukraine imesherehekea Christmas tarehe 25 December kwa mara ya kwanza katika historia

Kwa. Miaka Mingi Wakristo wa West na Vibaraka wao wa kizayuni wamekua wanawatesa na kuwaua wakristo wasio Fuata natakiwa ya Kimagharibi hivyo sishangai hili ni muendelezo ule ule, na kama wengine wanavyosema hii ni proof kwamba Ukristo wa Magharibi unafuata matakwa ya Viongozi badala ya Mafundisho ya kikristo.
 
Kwenya Ukristo hiyo sikukuu sio ibada, kula sio ibada, hata kwenda haja sio ibada unatangulia mguu wowote tu au hata ukiingia kinyumenyume ni sawa.
Huwezi kuielewa maana ya ibada wakati haujuwi ibada ni nini:

Kwenya Ukristo hiyo sikukuu sio ibada, kula sio ibada, hata kwenda haja sio ibada unatangulia mguu wowote tu au hata ukiingia kinyumenyume ni sawa.
Je ikiwa hio siku ni ya Kipagani Ukristo unaruhusu kusherehekea sikukuu za Kipagani?
 
Duniani kwasasa ni sherehe mbili tu zinazo zingatiwa.
Chrismass na Mwaka Mpya.

Hizo nyingine ni mbwembwe tu.

Kila mtu ama kwa hiari yake au kwa sio na hiari yake, atazisheherekea.

Yaani atake asitake.
 
Hao elimu na chuki zinawasumbua. Mbona iddi kila mtu anakula kivyake.
Utakuta leo waarabu wenye dini yao wanakula Alhamis na hapa bongo wanakula ijumaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Bakwata Mali ya CCM na sirikali yake.Bashite akajenga ofisi na msikiti
 
Mmesema yote ila kwa hili la kuona jinsia moja kanisani mliangalie msishupaze shingo.
Hili ni la PAPA wa Roman Catholiki na wafuasi wake kutokea Vatican city.Hawa ni Wakristu na siyo Wakristo.Acha wapambane na mtakavitu wao VICARIOUS FIRII DEI
 
Mkiambiwa dini yenu ni ya mchongo mnaanza kutukana kama vichaa.
Sasa hiyo ni dini gani ambayo utaratibu wake wa ibada unabadilika kutokana na matakwa ya watu fulani tena wanasiasa?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
MATATIZO YAPO KATIKA DINI ZOTE, WAPO WAISLAM WANAOCHEZA IDD KWA SIKU TOFAUTI TOFAUTI WENGINE WANATANGULIA WENGINE WANAFUATA NDANI YA ENEO MOJA, NI YALE YALE TU.
 
Ok , mwisho wa siku ni theories tu zimetawala maana hakuna ajuaye siku maalum aliyozaliwa, kama dunia iliridhia xmass iwe December 25 it's ok kwa maana hakuna la kupoteza maana ni kumbukizi kama zilivyo kumbukizi zingine.

Ila kwa Ukraine ni tofauti maana wameonesha kuwa wanaweza kufuata misingi yao kwa kujitenga na Russia hadi kiimani...
 
Nawale ambao Kila nchi idi ina siku yake ndio sio ya mchongo
Hiyo dini huwa wanajiona wanaakili kwa kuvumbua vitu hivi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
1. Neno kafiri
2. Mkojo wa ngamia
3. Tende
4. Tasbihi
5. Maji ya zamzam
6. Visima vya kujitawazia
7. Quran
Ukitaka kuona uhalisia wa uislamu, waambie wasitumie bidhaa za makafifiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. Hawana tofauti na mtu aliyeishi BC
 
Wewe ulitaka watu wamfuate huyu?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Allah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam ila hajasema wanawake wa kiislam watakaoingia peponi watapewa nini.

Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337β€”β€œAbu Umama amesimulia: β€œMtume wa Allah swt amesema, β€˜Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;

Sunan Ibn Majah Volume 5, Book 37, Hadith 4337β€”β€œAbu Umama narrated: "The Messenger of God said, 'Everyone that God admits into paradise will be married to 72 wives; two of them are houris and seventy of his inheritance of the female dwellers of hell. All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.”

Quran 56:28-37: We have created (their Companions) of special creation. And made them virgin - pure (and undefiled), - Beloved (by nature), equal in age,-

Quran 37:48-49:

And with them shall be those who restrain the eyes, having beautiful eyes; As if they were eggs carefully protected.

β€œ...they shall have therein Azwajun Mutahharatun (purified mates or wives), (having no menses, stools, urine, etc.) and they will abide therein forever.” This means God will provide pure women for men to have sex with in Paradise.
 
Kumbe mikesha ya sikuu na ibada siku ya sikuu huwa sio ibada?

[emoji375][emoji381]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…