Mafahali wawili hawawezi kukaa zizi moja.
Tycoons, Billionaires are fighting let the giants eat themselves, let's see how it goes...View attachment 3357486Alien Vs predator inaleta taswira gani
Tatizo hadi wamefikia hatua ya personal issues, Musk kaanza kumdiss trump issue ya kuhusika kwenye ngono za watoto, jambo ambalo waarabu wanahisi, ndio suala ambalo israel wanatumia kumblackmail trump, lakini not big issue.Trump amemtumia Elon kushinda uchaguzi, kisha anamtupilia mbali.
Ushawishi wa Trump umeshuka kutokana na sababu mojawapo kwamba anamkumbatia Elon Musk.
Kwa sababu Trump anapenda sifa na kuona anafanikiwa kama rais, kumbagaza Elon ni suala lililokuwa limetarajiwa mapema sana.
Wakati Trump angependa kubaki katika sifa yake ileile ya kukuza uchumi na kubana matumizi, Elon naye anataka kurejesha biashara zake katika afya ya zamani.
Wateja wengi wamejiondoa kwake ikiwa ni pamoja na kuchukiwa na raia kwa sababu tu ya uhusiano wake na Trump.
Sasa huo mtikasi baina yao una faida kwa Donald Trump na pia una faida kwa Elon Musk.
Kwamba zitakoma shughuli za utafiti katika anga za juu na mradi wa kuhamia Sayari Mars kuanzia mwaka 2027, hilo haliwezekani kwa sababu ni sehemu ya mpango mkuu wa serikali ya Marekani na mfumo mzima wa ulimwengu.
Nujuacho ni kwamba Trump na Elon wataendelea kuwa mabesti wakubwa hadi mabilionea hao waamie zao huko kwenye sayari nyingine.
Sahihi lakini NASA walishajikita kumfund Musk, ndiomana vifaa vya zaman walishaviretire, assume ISS tu nayo Musk alikula deal la kuilipua, so US bila musk kwenye space yuko old fashioned.Marekani walishaenda space kitambo, hawamtegemei Musk.
Hawaku retire kwa kupenda bali mazingira yaliwalazimisha.Suala la kukwama kwa project za Space ni kweli itakuwa ngumu lakini wakimtema musk itawachukua muda sana kwasabu vyombo vingi walisha retire.
Russia hayupo nyuma kwenye Tech shida marekani anapenda media.Hawaku retire kwa kupenda bali mazingira yaliwalazimisha.
Boeing mradi wake wa space shuttle ulikuwa unasuasua unachelewa kufikia deadline ndipo wakawekeza kwa SpaceX.
Boeing hatimae walikwama kuwarudisha wana anga duniani hadi SpaceX ilipofanikiwa kuwarudisha.
Wamarekani wametiliana saini na shirika la Rascosmos ya Urusi Mkataba kuwasafirisha wana anga wa Marekani kwenda international space station na kuwarudisha.
Nashangaa hapa JF watu wanawapondea Russia teknolojia yao ni duni!
Hukunielewa labda nimeandika vibaya nitarudia kusoma wapi nimekosea. Sijui kwanini umenielewa kinyume chake.Hakuna mkataba unaowataka Russia kupitia Roscosmos kupeleka astronauts USA kwenye Space.