uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 11,915
- 28,284
Leo wakiwa wanaelekea kukamilisha episode ya 4 ya maigizo Yao vijana wao wameshindwa kabisa kuanzisha Uzi kwani wanajua nn kinaenda kutokea hasa baada ya deal kwenda sawa na kuwafidia watoza ushuru kile ambacho wangepata tabora
Nasikia amberruty kahoji kama hawajazi kmc complex kwa Kila mechi kwa nn ajenge uwanja wa capacity kubwa pale bunchu si Bora ajenge kama ule wa Singida.
Anyway hatuchezi
Nasikia amberruty kahoji kama hawajazi kmc complex kwa Kila mechi kwa nn ajenge uwanja wa capacity kubwa pale bunchu si Bora ajenge kama ule wa Singida.
Anyway hatuchezi