Hatimae Whatsapp wamezindua mfumo mwanga hafifu 'dark mode' wa watumiaji wote.

Hatimae Whatsapp wamezindua mfumo mwanga hafifu 'dark mode' wa watumiaji wote.

JF web? Hebu nielekeze mkuu
Angalia hizi screenshot fuata mtililiko moaka restart jf bonyeza hapo ikifunguka tu kitu tayari.

Samahani kwa kutumia njia ndeeeeefu Sana.
Screenshot_20200305-192235~2.jpeg
Screenshot_20200305-192253~3.jpeg
Screenshot_20200305-192253~2.jpeg
Screenshot_20200305-192302~2.jpeg
Screenshot_20200305-192323~2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujui Dark mode inasaidia simu kukaa na chaji muda mrefu? Yaani nisawa na watoto wa kiswahili kuchelewa kuoa kisa wanawake wa sasa wana matatizo kumbe yeye anajitegea bomu[emoji23][emoji23]. Miaka 40 hujapata hata mtoto wakuja kukusaidia katika uzee wako[emoji23][emoji23]
Sijawai kupenda kutumia dark mode popote

Sent from SM-G950F using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kwa web siitategemea na browser unayotumia kama tayari ipo kwenye mfumo wa dark mode? Tumi Brave browser au Google chrome ili uweze kupata dark mode. Na hii unabadilisha browser yenyewe kwanza kutoka light to dark mode
Asante kwa faida ya wengine lakini mimi nimetaka kwa "web" sio "app" kwasababu mimi natumia zaidi web kuliko app.

Web ni hii hii hapa. www.jamiiforums.com

Sent from SM-G950F using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kwa web siitategemea na browser unayotumia kama tayari ipo kwenye mfumo wa dark mode? Tumi Brave browser au Google chrome ili uweze kupata dark mode. Na hii unabadilisha browser yenyewe kwanza kutoka light to dark mode

Sent from SM-G950F using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu. Haipo hivyo. Dark mode inakuwa ni kwenye app tu ya chrome (browser) lakini ukiingia site yoyote utakutaka na ambayo hiyo site wahusika wameweka default.
 
Hujui Dark mode inasaidia simu kukaa na chaji muda mrefu? Yaani nisawa na watoto wa kiswahili kuchelewa kuoa kisa wanawake wa sasa wana matatizo kumbe yeye anajitegea bomu[emoji23][emoji23]. Miaka 40 hujapata hata mtoto wakuja kukusaidia katika uzee wako[emoji23][emoji23]

Sent from SM-G950F using Jamii Forums mobile app
Sio lazima kila unachopenda wewe kila mtu lazima akipende na ndio maana kuna option za kuweka au kutoweka.
Fanya upendalo

Simu kukaa na charge au kutokaa na Charge sio big deal kwa kipindi hiki, labda kama simu yako ni kimeo inakaa na charge masaa 2.

Na ishu ya kuoa au kuolewa ni kuwa kila mtu anamtazamo wake kuhusu maisha, usiishi kwa kukariri mambo brother
 
Back
Top Bottom