Tetesi: Hatimae Yametimia, Hakuna Mafuta ya kupikia

Tetesi: Hatimae Yametimia, Hakuna Mafuta ya kupikia

Hata kwetu hayapo mtu alikwenda nunua leo akarudi eti amekosa mafuta maduka yote hadi ya jumla nikajua anazingua now ndo nimesanuka...
 
Do not panic.....hali itarudi NORMAL sasa hivi.Hamuwezi kufa kwa kukosa mafuta ya kupikia.Pis kuleni mbaazi sana zina protein,mafuta ya colestro
 
Hizi ni taarifa nzuri kwa Ufipa...
Kwa akili kama hizi ndio huwa tofauti ya mzungu na ngozi nyeusi huonekana!!kwani huyo ccm anaenda soko gani?kwenye uchumi mbovu haijarishi wewe ni chama gani!!yani wananchi wanaweza andamana kuwa maisha ni magumu wakatokea nyumbu kuwa nao wanaandamana kuwapinga wale wanaoandamana kuwa maisha ni magumu kuwa wanatumika!!!
 
Mchele ni anasa Dar. Kilo ya mchele ule mbaya kabisa ni shs 3000
Acheni kutia chumvi namna hii!Haiwezekani Kahama mchele uuzwe kati ya 1800-2000 halafu Dar uuzwe 3000!
Iwapo bei ya nyama ni ile ile na ng'ombe wanasafirishwa toka huku huku mikoani,kwa nini kwa mchele iwe hivyo?
 
Unapo tengeneza hyper inflation unategemea kuwa wananchi wako watakuwa na maisha mazuri ama mabaya?
 
Haa eti Wamefurahi,watu wa ajabu sana changamoto zikitokea wanafurahi,liberal bana Serikali aikwami unakwama wewe tafuta solution wacha kulia lia
 
Back
Top Bottom