Tetesi: Hatimae Yametimia, Hakuna Mafuta ya kupikia

Tetesi: Hatimae Yametimia, Hakuna Mafuta ya kupikia

Kwa upande wa mchele hilo lilitegemewa kutokana na Ukame wa mwaka jana sehemu kubwa ya nchi
Mwaka huu utashuka sana Hali ni nzuri
Tunasubiri jua tu uanikwe
Na ninavyopenda ubwabwa Zuwena bora tu waanze kuvuna na ushuke
 
Siandiki kwa Ushabiki Bali kwa uchungu! Mafuta ya kupikia yameshakua dili. Waliyonayo wameyafungia, naomba serikali ya CCM isiwakamate lakini iwabembeleze wayauze. Wanaouza wanauza kwa bei ya juu. Source, Dukani kwa Mangi.


Huyo huyo Mangi wako wa Kishumundu ndo kaficha!
 
Kuleni mchele wa kichina ule kitumbo.mafuta tumieni gris au oil
 
Mm mangi songea lita 4400 ndoo lita sh 40 elfu.
 
Michele mwingi sana mwaka huu karbuni wilaya ya magu mwanza
 
Mtu unaongelea hali halisi mwenzie analeta mzaa
Ni lini wa tz tutakua makini
Inaumiza Sana utadhani hayo Mafuta wanatumia Chadema peke yao !!! Yaani kila ukileta Habari Kama hawaipendi wanasema Chadema. I hate it
 
Duu Michele Dar tshs 2200 mpaka 2000 na siyo 3000 mafuta ya kupikia lita 3500 na siyo navyoona humu ndani
 
Mimi yakafika lita 5000 ndo niambie ukanunue mwambieni mheshimiwa atambue ili jopu
 
Back
Top Bottom