Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Na ninavyopenda ubwabwa Zuwena bora tu waanze kuvuna na ushukeKwa upande wa mchele hilo lilitegemewa kutokana na Ukame wa mwaka jana sehemu kubwa ya nchi
Mwaka huu utashuka sana Hali ni nzuri
Tunasubiri jua tu uanikwe