Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Na ninavyopenda ubwabwa Zuwena bora tu waanze kuvuna na ushukeKwa upande wa mchele hilo lilitegemewa kutokana na Ukame wa mwaka jana sehemu kubwa ya nchi
Mwaka huu utashuka sana Hali ni nzuri
Tunasubiri jua tu uanikwe
Siandiki kwa Ushabiki Bali kwa uchungu! Mafuta ya kupikia yameshakua dili. Waliyonayo wameyafungia, naomba serikali ya CCM isiwakamate lakini iwabembeleze wayauze. Wanaouza wanauza kwa bei ya juu. Source, Dukani kwa Mangi.
Kwa sababu kila mmoja wetu msemaji amaNdio maana jiwe anataka kufungia mitandao ya jamii
Ghali kuliko UlayaMafuta dumu la lita 20 tunanunua kwa tsh60000
Mtu unaongelea hali halisi mwenzie analeta mzaaTusiweke Siasa kwenye vitu sensitive! Ningetaka kuifanya Siasa ningeipeleka kwenye jukwaa la Siasa.
Inaumiza Sana utadhani hayo Mafuta wanatumia Chadema peke yao !!! Yaani kila ukileta Habari Kama hawaipendi wanasema Chadema. I hate itMtu unaongelea hali halisi mwenzie analeta mzaa
Ni lini wa tz tutakua makini
Sibishani!! Mimi Sio size yakoUONGO MTUPU
Kwanini nyie watu (Tusi nimelifuta) kila kitu mnakifanya Siasa? Hii ni taarifa tu, tuwe na akili kidogo some times, Sio kila kitu ni Siasa na jokes! Haya ni maisha yetu soteHuyo huyo Mangi wako wa Kishumundu ndo kaficha!
.Kwa upande wa mchele hilo lilitegemewa kutokana na Ukame wa mwaka jana sehemu kubwa ya nchi
Mwaka huu utashuka sana Hali ni nzuri
Tunasubiri jua tu uanikwe
Anajiita jambazi ilhali ana tabia za mtt wa kike,naomba nirudie sio mwanamke ila mtt wa kikeJambazi asiyejiamini.
Ni kumpuuzia tuAnajiita jambazi ilhali ana tabia za mtt wa kike,naomba nirudie sio mwanamke ila mtt wa kike