Hao si ndo wapiga kura acha waisome haswaaa ili akili ikae sawa maana wakiambia ccm ni mdudu hatari kwa maisha yako hawaelewi.Hamna jinsi huo ndo ukweli halisi hali huku mtaani ni mgumu sana wanaoumia siyo sisi wafanya biashara ni wananchi wa hali ya chini, huu ndo msimu wa kuvuna
Umemuelewa lakini kabla hujamjibu? Anachosema ni kwamba, huo upandishaji wa kodi utaneemesha viwanda vya ndani na kukuza uzalishaji na ajira za ndani.Sidhani kama mna taarifa kamili maana mafuta yamekwamia bandarini kutokana na mkanganyiko wa kodi..
Bila Freebasics nisingeona coment yako.Tatizo ni ukurupukaji wa serikali kimaamuzi ili kupata sifa kwa wananchi pasipo kutazama faida au hasara kwa siku za baadae. Tuache longolongo za kusifu serikali bila kutafakari kwa kinaMngekuwa na maisha magumu mngenunua bundle?
uongo mchele ni 1300 kwa 1400 mzuri 1600,1700,2300,2600
hizo ndizo bei za mchele.
sukari 2500
Hizo pesa za kuagiza mafuta nje wazitumie kujenga viwanda nchini, wasitutanie kabisa!si ndiyo kuharakisha kwenyewe. Tamko linatolewa na kuanza kazi hapohapo, lazima lilite usumbufu. Waagiza mafuta hawajapewa mda.
Nipo kilombero mchele wa chini kabisa tunawapa kuku.Mimi nakula super tu.Mchele ni anasa Dar. Kilo ya mchele ule mbaya kabisa ni shs 3000
Hao watakuwa vichaa, bidhaa kutoka nje inapopigwa kodi kubwa hiyo ni fursa kwa wewe mzalishaji wa ndani kuonheza uzalishaji na kujiimarisha zaidi katika soko!Ishu sio kuadimika ttzo kodi kubwa marambili ya kununulia wahindi wamefunga viwanda wanahamisha mitambo Kenya, Zambia na Uganda wamegoma kuisoma no sababu wana exposure.
Wanaume wa Dar mnalilia mchele sisi wa mikoani tunapiga nguna tuMchele ni anasa Dar. Kilo ya mchele ule mbaya kabisa ni shs 3000
Yea! You a [HASHTAG]#DeepShit[/HASHTAG]Haya yoooote.....
Ni kwasababu ya hii mipinzani tuliyokua nayo inchini
(Mi-chagdema& Mi-ACT WASALITI)
Hii mijamaa ni misaliti nambari wani ya hii inchi.
Ni mijitu tishio isolitakia mema taifa letu.
View attachment 763441
Acha uongo, free basics huwezi kupost/comment chochote!Bila Freebasics nisingeona coment yako.Tatizo ni ukurupukaji wa serikali kimaamuzi ili kupata sifa kwa wananchi pasipo kutazama faida au hasara kwa siku za baadae. Tuache longolongo za kusifu serikali bila kutafakari kwa kina
Utakuwa na duka lako la 1550? Au huli wali mkuu? Ha ha ha hasi uje huko mikoani unang'ang'ania dar kwani sisi bado kilo ya mchele 1,550/=
500 tu mkuu. Itabidi tubadilishe upepo tuelekee huko, na mafuta tunaweka kwa tone tu.Hivi tomato paste bei gani?
Fursa kama tungewawezesha wakulima wetu wa ngano, mafuta nk ili tulishe viwanda vyetu kama walivofanya wakoloni waliinua Kilimo ili kulisha viwanda walivoanzisha vikachochea ajira tele.Hao watakuwa vichaa, bidhaa kutoka nje inapopigwa kodi kubwa hiyo ni fursa kwa wewe mzalishaji wa ndani kuonheza uzalishaji na kujiimarisha zaidi katika soko!