Hao si ndo wapiga kura acha waisome haswaaa ili akili ikae sawa maana wakiambia ccm ni mdudu hatari kwa maisha yako hawaelewi.Hamna jinsi huo ndo ukweli halisi hali huku mtaani ni mgumu sana wanaoumia siyo sisi wafanya biashara ni wananchi wa hali ya chini, huu ndo msimu wa kuvuna