Tetesi: Hatimae Yametimia, Hakuna Mafuta ya kupikia

Tetesi: Hatimae Yametimia, Hakuna Mafuta ya kupikia

Siandiki kwa Ushabiki Bali kwa uchungu! Mafuta ya kupikia yameshakua dili. Waliyonayo wameyafungia, naomba serikali ya CCM isiwakamate lakini iwabembeleze wayauze. Wanaouza wanauza kwa bei ya juu. Source, Dukani kwa Mangi.
ushamba ule ule kama sukari wakati ule....
matokeo yake? hadi leo sukari bei haijashuka na importation ya sukari (ambayo then ilikuwa ndiyo bone of contention) ndiyo kwanza imekuwa kubwa kuliko zamani.

bei ya mafuta nayo ikipanda sasa haitashuka milele!

asante rais wa wanyonge!!
 
Kuna mdau jana usiku alileta uzi Kna wapumb walimbezaa

Ova
 
Back
Top Bottom