Tetesi: Hatimae Yametimia, Hakuna Mafuta ya kupikia

Tetesi: Hatimae Yametimia, Hakuna Mafuta ya kupikia

Siandiki kwa Ushabiki Bali kwa uchungu! Mafuta ya kupikia yameshakua dili. Waliyonayo wameyafungia, naomba serikali ya CCM isiwakamate lakini iwabembeleze wayauze. Wanaouza wanauza kwa bei ya juu. Source, Dukani kwa Mangi.
Hamna jinsi huo ndo ukweli halisi hali huku mtaani ni mgumu sana wanaoumia siyo sisi wafanya biashara ni wananchi wa hali ya chini, huu ndo msimu wa kuvuna
 
Content yako mkuu haijashiba/ haieleweki jaribu kuongeza nyama nyama.
 
Ni kweli kabisaaaa ndio bei yake
Kwahiyo mlitakaje labda, hiki ni kipindi cha mpito, demand ikipanda inakuwa ni fursa kwa wafanyabiashara kuwekeza katika kuongeza uzalishaji kwenye viwanda vya ndani, ila ukiruhusu cheap oil toka nje ni unaua viwanda vya ndani
 
Kwa maisha Haya na kama ndio upo benchi kutokana Na zoezi LA vyeti sijui ndio inakuaje?uchaguzi ujao patakua hapatoshi hapa
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu umetisha
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
ni kweli mafuta hayapo, na serikali kupitia wizara ya v/biashara kimya kama haipo!
Ishu sio kuadimika ttzo kodi kubwa marambili ya kununulia wahindi wamefunga viwanda wanahamisha mitambo Kenya, Zambia na Uganda wamegoma kuisoma no sababu wana exposure.
 
Labda hili mkuu kalifanya kwa kuliharakisha sana. Lakini hili ni jambo zuri ili kulinda wakulima wa alizeti, mawese na viwanda vya ndani vya kukamua mafuta.
Yaani wewe ndio wakwanza umeongea kitu chenye mantiki, ila wengine wanaongea kama kasuku tu
 
Back
Top Bottom