mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
kweli yalikuwa 53000 ghafla 60000+ . kwa dumu la lita 20.
sijui tatizo ni nini.
sijui tatizo ni nini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uongo, mimi nanua top grade kwa 2,000/= tu!Mchele ni anasa Dar. Kilo ya mchele ule mbaya kabisa ni shs 3000
sasa naomba tutulie tyuu mana hatukutaka kuitendea haki hii namba 26042018...wacha tuisome nambahabari ndiyo hiyo!
Kwahiyo, kwani wewe ulitakaje, au mnaona raha kulia lia tu
kabsaaa!sasa naomba tutulie tyuu mana hatukutaka kuitendea haki hii namba 26042018...wacha tuisome namba
Hamna jinsi huo ndo ukweli halisi hali huku mtaani ni mgumu sana wanaoumia siyo sisi wafanya biashara ni wananchi wa hali ya chini, huu ndo msimu wa kuvunaSiandiki kwa Ushabiki Bali kwa uchungu! Mafuta ya kupikia yameshakua dili. Waliyonayo wameyafungia, naomba serikali ya CCM isiwakamate lakini iwabembeleze wayauze. Wanaouza wanauza kwa bei ya juu. Source, Dukani kwa Mangi.
Tule chukuchuku pia hakuna kukaanga chpsi wote tuwe slimMafuta hayo ndiyo chanzo kikuu cha magonjwa ya moyo. Ngoja kwanza tuwe healthy kidogo mkuu yatarudi [emoji16][emoji16][emoji16]
Na bado wacha tuisome namba, ccm mbele kwa mbeleeeeMafuta Robo Tsh 900
Tsh 200 Nyanya 1
Kwahiyo mlitakaje labda, hiki ni kipindi cha mpito, demand ikipanda inakuwa ni fursa kwa wafanyabiashara kuwekeza katika kuongeza uzalishaji kwenye viwanda vya ndani, ila ukiruhusu cheap oil toka nje ni unaua viwanda vya ndaniNi kweli kabisaaaa ndio bei yake
Nunua madumu ya kutosha hadi baada ya miez Sita yanawezafika hati laki NNEMafuta 20lts Leo ni 70000/-
Ishu sio kuadimika ttzo kodi kubwa marambili ya kununulia wahindi wamefunga viwanda wanahamisha mitambo Kenya, Zambia na Uganda wamegoma kuisoma no sababu wana exposure.ni kweli mafuta hayapo, na serikali kupitia wizara ya v/biashara kimya kama haipo!
Ushuru bigkweli yalikuwa 53000 ghafla 60000+ . kwa dumu la lita 20.
sijui tatizo ni nini.
Yaani wewe ndio wakwanza umeongea kitu chenye mantiki, ila wengine wanaongea kama kasuku tuLabda hili mkuu kalifanya kwa kuliharakisha sana. Lakini hili ni jambo zuri ili kulinda wakulima wa alizeti, mawese na viwanda vya ndani vya kukamua mafuta.